Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

Speed ikoje kwa mliotumia?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hilo nalo neno,naona Tigo walianza vizuri ila sasa tena imekuwa mwendo wa kobe,Voda angalau wana mwendo kasi bado,hawa airtel bado hatujajua na Oh My God wao.
 
Guys ni kwa mud a now sijatumia modems(almost a year)
Naenda likizo bush nahtaj kujua modem za ntandao gani ziko reliable in case ya speed and availability
Msaada wenu plz
 
Iam sure Airtel internet speed cannot beat this:
bbb_zps487464ad.jpg
 
Speed bado ni tatizo na kama una hela kwenye simu ikisha hawatoi msg wanaendelea kula tuu ukishangaa imeeisha hapo utawapenda wamekula Elfu 20000 hivihivi iliyokuwa kwenye salio kwa masaa manne.
 
hii kitu ya OMG ni nzuri sana. Kinachoniudhi kwa tunaotumia modem ni kuwa lazima utoe sim card na uchomeke kwenye simu ndo uombe kwa ku dial *148*88# badala ya ku send msg kama zamani kwa mfano - OMG_1 kwenda 15444

time is money na chomoa chomeka inaleta uharibifu wa chemba ya sim card kwenye simu au modem
ndugu, karibuni modem zte za airtel, unaweza kufanya shughuli zote zihusuzo ussd code, kwa kuclick pale kwnye airtel menu.
 
hii kitu ya OMG ni nzuri sana. Kinachoniudhi kwa tunaotumia modem ni kuwa lazima utoe sim card na uchomeke kwenye simu ndo uombe kwa ku dial *148*88# badala ya ku send msg kama zamani kwa mfano - OMG_1 kwenda 15444

time is money na chomoa chomeka inaleta uharibifu wa chemba ya sim card kwenye simu au modem

Sio lazma mbona mimi nafanyia kila kitu hapo hapo mpk calling,angalia software unayoitumia ina matter kukuwezesha kupata hzo features
 
Sio lazma mbona mimi nafanyia kila kitu hapo hapo mpk calling,angalia software unayoitumia ina matter kukuwezesha kupata hzo features

natumia modem ya airtel - HUAWEI MOBILE BROADBAND - Model E1550 USB Stick.
nami pia nafanya calling lakini niki call *148*88# naambiwa namba haipo au tizama tena kuhakiki kama namba hiyo ni sahihi

wakati airtel walipoweka provision ya kununua bundle kwa sms ilikuwa inawezekana kujaza hela na kununua bundle kwa sms kutumia hii modem
 
Iam sure Airtel internet speed cannot beat this:
bbb_zps487464ad.jpg

Unawachezea Airtel wewe
Airtel nakulaga 16Mbps(2Mbps) and one day ilinishangaza eti inapiga mpaka 24Mbps(3MB/sec)

Tigo kwa Airtel bado sana wanadai wana 4G ya 42Mbps maeneo ya UDOM/UDSM,Makumbusho na Masaki ila na imani ukiwa hayo maeneo hauwezi zidi 16Mbps

nlnr.png
 
Nimekubali Mkuu hiyo speed ni noma, mimi hiyo ndio top speed niliyopata kwa kutumia modem yao mpya ya 14Mbps, naamini wewe unatumia kubwa zaidi ya hii. Natafuta modem kubwa zaidi.
 
Speed ni tatizo KWA mitandao mingi,
KWA hii ya airtel ni ya kawaida sana,ila wameona waongeZe ukubwa wa vifurushi bila kujali speed ya mtandao.
Kwangu mimi wangepunuza ukubwa wa vifurushi ila speed iwe ya kutosha.
 
Nyie mnaolalamikia speed mko wapi.? Mimi nakamua mpaka 7.2Mbps. Yaani ni burudani kabisa, buku 2500 kwa wiki natulia na GB 6. Now mechi hazinipiti, as most of them nastream bila kokoro

Mkuu naomba site ambazo naweza nkaangalia mechi( live streaming)
 
hii kitu ya OMG ni nzuri sana. Kinachoniudhi kwa tunaotumia modem ni kuwa lazima utoe sim card na uchomeke kwenye simu ndo uombe kwa ku dial *148*88# badala ya ku send msg kama zamani kwa mfano - OMG_1 kwenda 15444

Mie natumia Airtel modem (HUAWEI), napiga *148*88#, najiunga vizuri kabisa. Tatizo naona hizo points, kama vile .5 kwenye 3.5GB hawatoi, wanakupa 3GB only. alafu ukiuliza salio pia naona hupati figure zaidi ya hiyo hiyo 3GB uliojiunga nayo!
 
mkuu ngoja nitajaribu hii OMG ya wiki ikiisha.
 
wanaosema speed ya airtell iko slow syoo kweli iko very faster mm nadownload kuptia u torrent inatembea mpka 2.3mbps
 
Back
Top Bottom