Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

bigboi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
1,522
4,757
Validity
Volume
Price
Daily​
1.2GB​
600​
Weekly​
11 GB​
6000​
Monthly​
41 GB​
20,000​
3 Nights (11pm - 5 am)​
30 GB​
1000​
Dial *148*88# now to enroll.

KWA ALIYETUMIA SPEED IKOJE
 

Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    16.2 KB · Views: 2,197
vifurushi vizuri ila huyo mpangaji kachemka.

ukinunua kifurushi cha siku 10 times unapata gb 12 huku umespend 6000 tu. hivyo inafanya kifurush cha wiki kiwe kibaya. wangeeka atleast 13gb kwa wiki
 
Speed ikoje kwa mliotumia?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nyie mnaolalamikia speed mko wapi.? Mimi nakamua mpaka 7.2Mbps. Yaani ni burudani kabisa, buku 2500 kwa wiki natulia na GB 6. Now mechi hazinipiti, as most of them nastream bila kokoro
 
Lakini hata hivyo, ukipiga hiyo *148*88# unapata machaguo mengi zaidi ya hayo waliyoweka kwenye website. mfano, ukichagua OMG wiki unapata options hizi:
1. MB 600 kwa Sh 600
2. 1.2GB kwa Sh 900
3. 3.5GB for Sh 1700
4. 6GB kwa Sh 2500
5. 11GB kwa Sh 6000


Mie nilichagua 3.5GB for sh 1700, nimeitumia sana, lakini kila nikiuliza salio inasema tu BUNDLE 3GB! Hata sielewi!
 
Nyie mnaolalamikia speed mko wapi.? Mimi nakamua mpaka 7.2Mbps. Yaani ni burudani kabisa, buku 2500 kwa wiki natulia na GB 6. Now mechi hazinipiti, as most of them nastream bila kokoro

Yawezekana kweli maeneo tulipo pia yanachangia.
 
Back
Top Bottom