Gharama za uchaguzi Igunga ni aibu kwa nchi yetu

He! imerudi tena au imeboreshwa zaidi? Je imekuja na ushahidi wa documents? He kwa heri.
 
Udadisi wako ujadadisi kura za CUF. UPDP. SAU. AFP. zimegharimu kiasi gani?
 
Udadisi umekaa kimasaburi zaidi. Ingawa nipo Chadema lakini sioni faida za utafiti wako. Labda kama unaweza kuzitaja.
 
Kumbe gazeti lenyewe ni tanzania daima.mimi nilidhani ni ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.Unafikiri gazet la mbowe linaweza likaisema vizuri CCM?,thubutu!.Halafu kumbe wote wametumia fedha sasa hoja ya CCM walaumiwe inatoka wapi.Yaani coz CCM imetumia kikubwa basi tuiweke msalabani na MAGWANDA ni wenyeheri coz wametumia kidogo teh teh teh...
 
...Huo ni ukokotozi wa hesabu za kura dhidi ya gharama! Hata hivyo, gharama halisi ya uchaguzi wa Igunga ni wale wapiga kura waliyeuza kura zao na au kuacha kupiga kura. Gharama ya kununuliwa jumlisha na ile ya kutokupiga kura ndizo zinazoweza kutoa gharama halisi ya mchakato wa demokrasi ya Igunga na ndivyo inavyoweza kutafsiriwa mwaka 2015. Demokrasi ni gharama; na gharama yake itawagharimu wapiga kura kwa kupoteza haki yao ya demokrasi. (Soma TanzaniaDaima la Jumatano tarehe 12, Oktoba 2011 kwa Tafsiri Sanifu ya Gharama za Demokrasi)!
 
Udadisi umekaa kimasaburi zaidi. Ingawa nipo Chadema lakini sioni faida za utafiti wako. Labda kama unaweza kuzitaja.


Udadisi umekaa kimasaburi zaidi. Sioni faida za utafiti wako. Labda kama unaweza kuzitaja

Samahani nimerecast mchango wako kama hapo kwenye nyekundu. Nakushauri kama Great Thinkers tusionyeshe sana uanachama wetu.

Hata hivyo cha msingi matumizi halisi hatujui bado itoshe tu kusema kila kura Igunga ilikuwa na gharama yake kulingana unakipigia chama kipi hadi hapo gharama rasmi zitakapotolewa.
 
Tutumie maneno yenye kuonesha hekima jamani tusiwe kama vijana wa revolution party wanaotukana kwenye mikutano yao kuwatukana watu ambao hawapo kwenye huo mkutano, sasa najiuliza wanaosikia hayo matusi si ndio wanaopata aibu au?
 
Nadhani Huu Uchambuzi Wapelekewe Donor Countries ili waone Jinsi Tunavyotapanya Hela (Serekali Tawala - Magamba) Huku watu wakitembeza Bakuli kuomba misaada ambayo inachezewa Kihivyo. Wananchi amkeni Mdai Haki zenu
 
Back
Top Bottom