Piga namba hii 0719788893 utampata operator wa grader aliye Dar es Salaam, atakupa bei.
Kwa wastani ni sh. 200,000 kwa saa. Ukipata anayemuibia boss wake au kampuni ni chini ya hapo, lakini akipigiwa simu na boss wake anaweza kukimbia ghafla.
Kuna yale magrader yenye tenda za barabara, usiku madereva huwa wanaiba na kwenda kuwafanyia kazi kwa bei za kichekibobu. Kupanga ni kuchagua...
Yap yap ndio bei zake hizo unaweza kuchukua hata ya manispaa wakakufanyia kazi kwa elfu80-100.
wa pale Kimara wanacharge 150,000/=Tsh kwa saa na wanaanzia masaa matatu na kuendelea, yaani kama una kazi ya saa moja ni lazima ulipie masaa matatu, ,,,,,,,,,,,,,, na charge zao zinaanzia gradder linapotoka hapo ofisini kwao, ,,,,,,,,,,,,,,,, haya kamitu yana Gharama sana