Gharama za kusajili gari hapa tanzania

mwathu

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
403
210
Wadau naomba kujuzwa gharama za kusajili gari hapa nchini Tanzania bila kuhusisha garama za importation, kodi na bei ya gari.
 
Wadau naomba kujuzwa gharama za kusajili gari hapa nchini Tanzania bila kuhusisha garama za importation, kodi na bei ya gari.

Kwa gari za kawaida isiyoizidi 2000cc ni shilingi laki tatu tu.. (TZS 300,000/=)
hope that helps you out
 
Back
Top Bottom