mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,110
- 21,657
Ni wazo zuri kama umetambua ilo.mimi na wewe ni watu wawili tofautiItakua hujanielewa na kama umenielewa basi huna hoja ya kujibu ndio maana Una rukaruka. Nilitaka unipe mfano wa matumizi ya umeme kwenye nyumba yenye mfumo uliotumia waya ya 10mm na 16mm kama mimi nilivyokupa mfano wa matumizi ya umeme kwenye nyumba yenye mfumo wenye waya ya 6mm.
Hayo mambo ya darasa sijui kibali yanatoka wapi? Kama umeshidwa kunielewesha hapa kwa faida ya wengi sina haja ya kuja inbox na ninaitilia shaka taaluma yako ya ufundi. Na huu mjadala baina yangu na yako unaishia hapa.