Ghana yaonesha njia.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Wizara ya viwanda na biashara ya Ghana, imepitisha sheria ya kuzuia wageni kuwekeza ktk miradi ambayo inaweza kuwekezwa na wenyeji wazalendo. Fursa hii imetolewa ili kuweke uchumi wa nchi mikononi mwa wazalendo ili kupunguza umaskini. Je Tanzania tuko ktk hatua ipi?
 
Hatutaweza kamwe kufuata mfano wa Ghana kwa sababu ya uroho wa viongozi wetu wanaohongwa na wageni wa nje ili wawekeze nchini kwetu. Kumbuka rais mstaafu Jerry Rawlings wa Ghana alibidi kuwa eliminate mafisadi kwa risasi. Sisi tuna ubavu huo?
 
Back
Top Bottom