mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 891
- 707
✅Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima, kuna miradi ya miundombinu isioendana na uhalisia wa uchumi wetu na miradi inayofilisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo vikibaki vile vile.
✅Tuepuke kuchukua mikopo mikubwa kufanya miradi isio na tija.Mikopo mikubwa iidhinishwe na CAG,Technocrats na Baraza la Usalama wa Taifa badala ya wanasiasa pekee.
✅Katazo na onyo kali litolewe kuzuia malipo mbalimbali kufanywa Kwa fedha Za kigeni ndani ya nchi (Rent,fees,Ticket Za ndege,Tozo,etc)..
✅Strategic bilateral agreements zifanywe dhidi ya nchi ambazo tunanunua zaidi commodities (Vyakula,Raw materials,Spares,etc) ili settlement Za malipo yafanyike Kwa kutumia local currency.
✅Tuvufungue Milango zaidi kuruhusu FDI Kwa kupunguza masharti yasio na tija..urasimu na kufuata Mashauri magumu ya mabeberu Wawekezaji walete mitaji Kwa wingi.
✅Watanzania walioiba fedha kuoitia utumishi wa umma na Rushwa wapewe amnesty ili kuzirudisha nyumbani na kwenye mzunguko (Mabilioni ya dola yamefichwa kwenye visiwa -Safe heavens na waliokuwa viongozi,viongozi).
✅Tupige marufuku wageni kuja na kufanya biashara ya export ya Mazar na madini tokea kwenye roots..Watoe kazi Kwa wazawa kuepuka mapato mengi ya exports kuondoka nchini.
✅Mashamba makubwa 500 yaanzishwe kimkakati yenye ukubwa kati ya ekari 2000 mpaka 5000 Kwa mkulima mmoja..mikopo ya fedha na mitambo isio na riba Itolewe kuchochea kilimo ktk mazao makuu 7 (Ngano,Mahindi,kahawa,Alizeti,Mpunga,Korosso,Kunde,Ufuta,Miwa,Chai,Maharagwe..etc,Wahitimu wa kilimo ewalazimishwe kufanya kazi za uzalishaji vijijini Kwa kupewa ruzuku na vifaa na mitambo ya kilimo .
✅Ujenzi wa viwanda 200 kupitia EPZA.Wazawa wawezeshwe kupanua na kujenga viwanda kupitia EPZA ili kuboost export ktk kupitia export demands zilizopo na uongezaji thamani’mfano.Nguo,ngozi,Maziwa,Chakula,etc
✅Tuwazuie wageni kuhodhi logistics na supply chain business Kama Customs Clearance,Transport and Freight Forwarding..Hiki ni chanzo kikubwa cha Forex Kwa nchi..Wachina wametamalaki Kwa sasa wanazishika kazi tokea uchina,Hao hao wanafungua na kununua makampuni Tanzania,Zambia,DRC,Uganda hivyo kudhibiti mapato Kwa zaidi ya asilimia 85..
✅Misafara mikubwa ya viongozi wa kitaifa wanapofanya safari Za nje ipunguzwe haraka kuepusha mahitaji ya dola Kwa wanamisafara hivyo kusababisha demand zisizokuwa Za lazima..Tafiti zifanyike Kwa safari moja ya kiongozi yenye msafara wa watu 150 mpaka 200..Kwenye soko zinanunuliwa dola kiasi gani?
✅Miradi ya Liganga na Mchuchuma,Siasa ziwekwe pembeni,Mizengwe ifutwe..Mwekezaji aanze uchimbaji tuuze chuma nje..Tupate mapato endelevu based on lucrative deposits.