Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Yale mambo yetu yale. Yale ya Bwashee Geoff na dada yangu ambao wapwa na mabinamu wa JF tulifanikiwa kuweka mambo yao sawa. Nazungumzia kale ka get tugedha ka kuwapongeza. Jumapili ni kesho kutwa.
Nataka kujua nani na nani wanaahidi kuhudhuria bila kukosa ili mwenyekiti niendelee na maandalizi kabambe. Lokesheni nitawatumia kwa PM ili wale bestfriends zake mpwa nguli wasiharibu mazingira, si mnajua tena? (Yu knoo woram seing?) Mawazo ya nini nanini kiwepo yanapokelewa kwa mikono miwili.
Mpwa Masa najua yuko kwenye dozi, anaruhusiwa kutuma mwakilishi. Wapwa kazi kwenu kujivinjara na kupongezana. Kwenda off point ni strictly prohibited!
Naomba kutoa hoja.