Get tugedha part...

wapwa ni muda sasa toka mpwa kaizer atoe thread ya get tugedha ya mikumi sasa umefika muda muafaka wa kukutana wapwa na ku analyse cost za huko tutakako enda kama nilivyo pendekeza initial cost iwe 100,000/= hii kwa ajili ya msosi, usafiri, na hata malazi itategemea wapwa tutakapo kutana week end hii. Jamani week end hii tukutane na kuchanganua gharama za get tugedha bab'kubwa.
Nawakilisha.


wenye nia thabiti tubadilishane nambari za simu,
yangu ni 0717 45 44 55
 
Mbona hatuna taarifa wengine? haya pigeni simu na sisi mtupe mambo. 0665 447 788. ukipiga mention the name ya humu then tuanzie hapo. thax
 
Jamani nitawapigia simu mkikutana
hahahaaaa, nilikua sina wa kwenda nae mbugani, Loh air ticket ya return inakuja this weekend!.
Masanilooooo, si ndio muhasibu ama??, ni-PM nidipoziti laki 2 keshi.
 
Back
Top Bottom