Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Magazeti lisening skills zero .Raisi alitamks kabisa TV za mitandaoni wao hilo la magazeti walilitoa wapi? nenda youtube hotuba nzima ya Raisi imo alitaja online Tv tu
Kwahiyo vyombo vya habari ni online TV pekee?
 
UFAFANUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.

Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Maskini Tanzania Daima!
 
Msemaji wa serikali ametoa ufafanuzi kwamba kilichofunguliwa ni online TV na si Magazeti. Hi kauli Msigwa anadai imetoka kwa Mhe. Rais.

Mwenyekiti wa wazazi Wa ccm ametoka adharani nakusema Mhe. Rais apangiwi kuhusu katiba mpya. Maana ya kauli hii nimsimamo wa chama kuwa hakuna katiba mpya

Lakini haya yanatufundisha Nini? Endapo utahutubia Taifa watu wakakupongeza lakini viongoz wachache wanaokula mema ya nchi wakakasurika basi tambua Tanzania si ya Watanzania Tena Bali ni nchi ya watu wachache.

Hii trend imeturejesha kwenye maumivu Yale Yale, lakini pia mkinzano huu wa kauli una athari kwenye uchumi maana Kama ndani kwa wananchi ahadi zinabadilika je kwa wageni itakuwaje? Tusipothibiti hii Hali upo uwezekano wanaoitwa wawekezaji kuja nakuhamisha rasilimali zetu kuzipokeleka huko walipotoka. Tusicheze na mind za wananchi tutaliyumbisha Taifa, tutatengeneza wapigaji na kuondoa wazalendo
Tuna hasara tupu, hakuna rais hapa haki ya Mungu. She is unstable na hii watu wameshainyaka kuwa n mtu wa kuyumbishwa
 
Kama ni hivyo basi ameanza kuyumba na itamggarim na huenda hata mengine aliyoagiza hayatatekelezwa,
 
Wengine tulishaonya mama ni illest pit-bull in a skirt (Magufuli mtupu) kwenye kusimamia sheria.

Kutaka kugeuza maneno yake aitosaidia wote tulimskia akisema vile vyombo vya mitandaoni vidogo vidogo vifunguliwe na sheria ifanye kazi yake.

Hakuna chombo cha habari kilichofungiwa bila ya sababu maalum, be it adhabu zingine ni too harsh given the offence.

Ngoja sasa aanze kutumbua huko mbeleni wazembe, nimeona jana mawaziri walioko serikalini muda mrefu wanamuogopa.
 
Screenshot_20210407-181321.png
 
Msemaji wa serikali ametoa ufafanuzi kwamba kilichofunguliwa ni online TV na si Magazeti. Hi kauli Msigwa anadai imetoka kwa Mhe. Rais.

Mwenyekiti wa wazazi Wa ccm ametoka adharani nakusema Mhe. Rais apangiwi kuhusu katiba mpya. Maana ya kauli hii nimsimamo wa chama kuwa hakuna katiba mpya

Lakini haya yanatufundisha Nini? Endapo utahutubia Taifa watu wakakupongeza lakini viongoz wachache wanaokula mema ya nchi wakakasurika basi tambua Tanzania si ya Watanzania Tena Bali ni nchi ya watu wachache.

Hii trend imeturejesha kwenye maumivu Yale Yale, lakini pia mkinzano huu wa kauli una athari kwenye uchumi maana Kama ndani kwa wananchi ahadi zinabadilika je kwa wageni itakuwaje? Tusipothibiti hii Hali upo uwezekano wanaoitwa wawekezaji kuja nakuhamisha rasilimali zetu kuzipokeleka huko walipotoka. Tusicheze na mind za wananchi tutaliyumbisha Taifa, tutatengeneza wapigaji na kuondoa wazalendo
Binafsi style ya uongozi wa nchi kubwa (kilometa za mraba) kama Tanzania wanayotumia ccm haijawahi kunipa furaha. Gawa majimbo halafu hayo majimbo yashindane kimaendeleo.
 
Huyu mama atakuwa na mwanae au ndugu zake wana hizo blogs sio bure, nini mantiki ya kufungulia blogs halafu magazeti ayaache? huyu Rais ni empty, nilidhani amekosea bahati mbaya kwenye lile sakata la uteuzi wa mkurugenzi shirika la mafuta, sasa na leo tena amethibitisha hakuna kitu pale, nyie mliokuwa mnaimba mapambio jana tu naamini mmeshaanza kuisoma namba sasa, au mkipenda kuendelea kuota, ok.

Yaani bila Katiba Mpya ni kwenda hatua moja mbele, then kurudi tatu nyuma, halafu tunashangilia. Rais ana upendeleo.
 
Kinachofuata ni kutoa haya masalia yote ya fedhuli magufuli nje! Mama Samia atimue wote hawa
Mama samia! mama Samia! Unavyoona kuna tofauti? Huyo ni CCM boss, siyo vingine. Ikiwezekana timua wote! CCM yote nje ya uringo!
Ila tatizo sasa, nani aingie kutoka upande mwingine? Maana hata hawana ajenda tena! CHADEMA hoi, wengine wakimbizi. CUF marehemu. ACT kilaka tu! Nani mwingine sasa! Tuna vacuum!
 
Back
Top Bottom