Gerald Hando anatumia vibaya nafasi yake ya utangazaji wa kipindi cha Power Breakfast

Haya ni matatizo ya kupenda kusikia yale unapenda tu kusikia.

Kila mtu anauhuru wa kudhani nani kahusika na janga la Dr Ulimboka, sioni tatizo kwahilo au unadhani ni sahihi tu kudhania jk na Gvt tu ndio wahusika?

Na aliposema watu wanashambuliana kwa mambo binafi ni kweli, kwani hukusikia Mbowe anaitwa kiongozi bomu anajua u DJ tu?

Na hizi hoja za wengine kuoanisha elimu na anachofanya mtu tumetoa wapii?
Ndio maana wenye akili kama zenu wanamuona Mbowe hafai kwakuwa alikuwa DJ au Lema alikuwa msanii wa magari na madini nk
 
Akili mbovu sana kuamini kwamba mabadiliko ya vyama kutawala ndio yanaleta maisha bora huo ni ujinga na ndoto za alinacha.Siasa za nchi za Afrika zinaendeshwa na mataifa makubwa na sio wanasiasa wa nchi hizo kama huamini angalia mifano ya Kenya,Zambia,Malawi n.k Fanya kazi ujikomboe acheni kuwa na matarajio makubwa mtakufa kwa presha
 
Back
Top Bottom