George Mkuchika, Waziri wa Utawala Bora, janga jingine hili!

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Kwa kweli hawa mawaziri wa tanzania sijui wanaishi miongoni mwa jamii za kitanzania au wamekuja kwa mkataba kuafanya kazi na kuondoka huyu waziri yuko mikoa ya kusini kwenye ziara zake huko,kuna kauli alinukuliwa na vyombo vya habari (tbc 8:00pm) juzi akisema;
  1. walimu wote wakuu waliofaulisha wanafunzi ambao hawajui kusoma wala kuandika katika mtihani wa darasa la saba watawajibishwa.

nina maswali yafutayo
  1. anayetakiwa kuwajibishwa ni mwalimu mkuu au viongozi waandamizi wa wizara ya elimu na idara zake.??
  2. mkuchika anajua kuwa kuna shule zina walimu watatu tu??na wote wanafundisha masomo yanayofanana??
  3. anajua kuwa huko mashuleni siku hizi hakuna hata "chaki' za kuandikia ubaoni??je unategemea nini katika mazingira kama haya??hili nimeliona kwa macho yangu kwa sababu wazee wangu wote walimu wa shule ya msingi.
  4. anajua kwamba mitaala inabadilishwa na wizara bila kutoa mafunzo kwa walimu ambao ndio wadau wakubwa katika kufundisha???
  5. anaelewa kuwa walimu ndio tabaka ambalo limesahaulika sana katika utumishi wa umma?tofauti na kipindi cha enzi za mwalimu ambapo mwalimu,bwana shamba na bwana waganga walikuwa wanathaminiwa sana katika jamii??amefanya utafiti kujua nini chanzo cha matatizo hayo???
  6. serikali yenu imewalaghai walimu mara ngapi kuhusu madai yao??unajua kuwa walimu wamekata tamaa sana???je unategemea kupata matokeo mazuri kutoka kwa walimu waliokata tamaa??
mimi naona uanze kuwajibika wewe kwa sababu umepewa wizara nyeti lakini unakurupuka kama vile umekuja kutumikia watanzania kwa mkataba kama expatriate baada ya hapo utarudi kwenye nchi yako uliyozaliwa.timizeni wajibu wenu ili mpate nguvu ya kuwawajibisha wasio wajibika kwa tulipo fikia sasa mnalea matatizo baadala ya kuondoa.namwomba mungu tanzania ipate/azaliwe pacha wa paul kagame (rwanda) ili tuweze kuwa na dhana ya uwajibikaji.
 
hivi kwa mfano, mitihani ya darasa la sabu nasikia ilikuwa ya kuchagua jibu sahisi, sasa kama mtu kabatatisha mwalimu mkuu anahusikaje?
 
Ndugu George Mkuchika..

Leo Rais Magufuli ameona ni vyema Mkuchika akarudi kuiongoza Wizara hiyo hiyo ya Utumishi na Utawala Bora. Analenga matokeo gani kwa mwenendo wa nchi?!

Muda utaamua!
 
Ndiyo matatizo ya kuteua Mawaziri wapumbavu. Mtu anatamka hadharani kwamba ndani ya Serikali yake kuna Waziri pumbavu, cha kushangaza anafanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri na kuwateua wale wale na kuongezea wapumbavu wengine. Kwa mtindo huu maendeleo nchini kwetu tutayasikia au kuyaona kwenye nchi za wenzetu. Kwetu TURIE TU! Ni majanga mbele kwa mbele.

Kwa kweli hawa mawaziri wa tanzania sijui wanaishi miongoni mwa jamii za kitanzania au wamekuja kwa mkataba kuafanya kazi na kuondoka huyu waziri yuko mikoa ya kusini kwenye ziara zake huko,kuna kauli alinukuliwa na vyombo vya habari (tbc 8:00pm) juzi akisema;
  1. walimu wote wakuu waliofaulisha wanafunzi ambao hawajui kusoma wala kuandika katika mtihani wa darasa la saba watawajibishwa.

nina maswali yafutayo
  1. anayetakiwa kuwajibishwa ni mwalimu mkuu au viongozi waandamizi wa wizara ya elimu na idara zake.??
  2. mkuchika anajua kuwa kuna shule zina walimu watatu tu??na wote wanafundisha masomo yanayofanana??
  3. anajua kuwa huko mashuleni siku hizi hakuna hata "chaki' za kuandikia ubaoni??je unategemea nini katika mazingira kama haya??hili nimeliona kwa macho yangu kwa sababu wazee wangu wote walimu wa shule ya msingi.
  4. anajua kwamba mitaala inabadilishwa na wizara bila kutoa mafunzo kwa walimu ambao ndio wadau wakubwa katika kufundisha???
  5. anaelewa kuwa walimu ndio tabaka ambalo limesahaulika sana katika utumishi wa umma?tofauti na kipindi cha enzi za mwalimu ambapo mwalimu,bwana shamba na bwana waganga walikuwa wanathaminiwa sana katika jamii??amefanya utafiti kujua nini chanzo cha matatizo hayo???
  6. serikali yenu imewalaghai walimu mara ngapi kuhusu madai yao??unajua kuwa walimu wamekata tamaa sana???je unategemea kupata matokeo mazuri kutoka kwa walimu waliokata tamaa??
mimi naona uanze kuwajibika wewe kwa sababu umepewa wizara nyeti lakini unakurupuka kama vile umekuja kutumikia watanzania kwa mkataba kama expatriate baada ya hapo utarudi kwenye nchi yako uliyozaliwa.timizeni wajibu wenu ili mpate nguvu ya kuwawajibisha wasio wajibika kwa tulipo fikia sasa mnalea matatizo baadala ya kuondoa.namwomba mungu tanzania ipate/azaliwe pacha wa paul kagame (rwanda) ili tuweze kuwa na dhana ya uwajibikaji.
 
Alishasema msimwingilie, Alipooenda kuchukua form hakuna na nyinyi alienda peke Yake, Yawezekana hata kura alijipigia mwenyewe, Yeye ndiye anayepanga huyu akae wapi na yule akae wapi, Hivyo msimwingilie, Na mkimwingilia ndo mtapoteza kabisa, ALISHASEMA MSIMWINGILIE KAENI KIMYA,NA NYINYI MKITAKA SUBIRINI UCHAGUZI UKIFIKA KAJAZENI FORM MGOMBEE ILI MCHAGULIWE NA MUWATEUE HAO MNAOWATAKA. KWA SASA KAENI KIMYA
 
Alishasema msimwingilie, Alipooenda kuchukua form hakuwa
na nyinyi alienda peke Yake, Yawezekana hata kura alijipigia mwenyewe, Yeye ndiye anayepanga huyu akae wapi na yule akae wapi, Hivyo msimwingilie, Na mkimwingilia ndo mtapoteza kabisa, ALISHASEMA MSIMWINGILIE KAENI KIMYA,NA NYINYI MKITAKA SUBIRINI UCHAGUZI UKIFIKA KAJAZENI FORM MGOMBEE ILI MCHAGULIWE NA MUWATEUE HAO MNAOWATAKA. KWA SASA KAENI KIMYA
 
Back
Top Bottom