Geor Davie ni nani?

Ni nani anayemjua vyema huyu ndugu?
Nasikia ni Nabii
je huduma yake ipo wapi ?

GEORDAVIE1.jpg


=============


============[/QUOTE
ALIMPORA MKE WA MUUMINI WAKE, KIJANA MOJA DEREVA WA TOURS, MTOTO WA MZEE LOTA PALE SAKINA, MKEWE ANAITWA PAMELA

Hii ya kupora mke wa muumini wake ilivuma sana Arusha. Nasikia mpaka mumewe alichanganyikiwa.
 
Juzi nilipata bahati ya kumsikiliza katika Radio inayoitwa N.Y.U [ngurumo ya upako radio] huyu bwana ameirahisisha dini mno, sioni kama anatofauti na yule kibwetere wa Uganda, kwa kifupi ni kama mungu mtu. Anajikweza sana, anajisifu sana, inafika mahahali alisema eti akiwa mdogo alioneshwa na Mungu kuwa bibi yake atakufa miaka mitano ijayo[wakati huo, na alimwambia bibi yake hivyo, wazazi wake G.D eti walikua karibu na walimfukuza ili asiendelee kuongea vile mbele ya bibi yake, na akasema ndani ya ile miaka 5 yule nyanya yake kweli alifariki] waumini wanashangilia na kupiga vigelegele. Ama kweli hakuna biashara inayokosa wateja. Huyu bwana ni mpotoshaji mkubwa wa biblia, na anasisitiza sana michango hasa fungu la 10, nawahurumia hawa waumini ambao ni fukara sana, ifike mahali serikali itupie jicho watu kama hawa la sivyo umasikini hautaondoka katika jamii zetu
 
Wakati naangalia TV nimejikuta nimeweka Channel Ten, bahati nzuri nimekuta huyu jamaa nasikia wanamuita nabii.

Kilichonisukuma kuanzisha uzi huu ni hivyo vyeo vyake anavyoitwa

- Nabii Mkuu Tanzania, Baba Mheshimiwa, Dkt GeorDavie
- H.E.HON GEORDAVIE (PHD)

Hivi vyeo vimenitisha sana ukizingatia mimi na wapiga dili hawa type ya Gwajima huwa siwaamini.

Najua kuna kondoo wake humu ndani, naomba wanisaidie kunijuza kama hivi vyeo wanampa wenyewe au anajipachika!!
 
Huyo we muache kama alivyo.......simama pale ulipo......anayehusika anatambua uwepo wako..............
 
Mimi sio muumini wa huyu jamaa. Na sijawahi kwenda kwenye ibada wala mkutano. Lakini nimewahi msikiliza kwa makini kwenye radio yake. Hasa kipindi chake cha maswali na majibu siku ya j5 kama sikosei. Jamaa anajua sana biblia na dini kupita maelezo. Ni zaidi ya unanifikiria. Kwa hilo I salute him. Sasa hayo ya nguvu za giza mi sijui kwa sababu hakuna anaweza thibitisha. Jamaa yuko vizuri sana
 
Mimi sio muumini wa huyu jamaa. Na sijawahi kwenda kwenye ibada wala mkutano. Lakini nimewahi msikiliza kwa makini kwenye radio yake. Hasa kipindi chake cha maswali na majibu siku ya j5 kama sikosei. Jamaa anajua sana biblia na dini kupita maelezo. Ni zaidi ya unanifikiria. Kwa hilo I salute him. Sasa hayo ya nguvu za giza mi sijui kwa sababu hakuna anaweza thibitisha. Jamaa yuko vizuri sana

umemlinganisha na Nabii yupi ukamuona kuwa yuko vizuri!
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
Huitaji hata certificate kujua huyu ni nabii wa shetani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom