Tetesi: Genious wa kiafrika Ulaya hufanywa machizi kwa kuchomwa sindano wakibainika

ni kweli mkuu. Basi kwa nini sisi waafrika tunawapenda hao ngozi nyeupe? Tena tunawapapatikia na kuwaheshimu. Kwa nini sasa wanatudharau kwa sisi kuwanyenyekea
umeingia lini ulaya ndugu?maana mada zako zote ni negative tu,hujaridhika na maisha geuka tu kipawa inakungoja.
 
Very biased allegations. Mbona hujasema wale waafrika waliofanya mambo makubwa huko Ulaya ambao wapo hai au walilala mauti kawaida tu. Ufanywe chizi kwa faida ya nani? Wakufanye chizi ili wakupe hela ya bure maisha yako yote hawaoni ni hasara kwao? Kwanini hizo akili waistumie wakiwa kwao? Hii ni too low mkuu

Waafrika mentality ya kudhani mnaonewa kila kitu itawatafuna hadi mifupa
 
Kifupi strong ruler kaandika yeye mbona hawajamfanya kitu ndo nikamjibu yeye kweli ila huyo mtu kwenye avatar yake alimuua sasa kama wewe ndo strong ruler au unamuwakilisha nikutake radhi ndugu yangu nimefanya makosa ku quote comment yako na haitajirudia tena.
Humu Kuna watoto WA form six WA Jana walio na visimu vya Maboom Yan wanakera Sana washenzi Hasa you can find that it's just a serious topic but mtu analeta upuuzi wake .
 
Humu Kuna watoto WA form six WA Jana walio na visimu vya Maboom Yan wanakera Sana washenzi Hasa you can find that it's just a serious topic but mtu analeta upuuzi wake .
Nimekuelewa sana ndugu yangu but inabidi twende nao hivyo kumbuka huu msafara wa mamba kenge pia wapo ndo maana nikamjibu hivyo poa pamoja sana ndugu yangu.
 
naweza kukuamini kwa sababu mzungu kwa saikolojia ni hatari sana. Anaweza kukuwini kisaikolojia ukamuona mzuri ana upendo. Na bill Cosby hata akishinda kesi inabidi awe strong

Mimi naamini kabisa hasa marekani kuwa kuna systematic way ambayo white Americans destroy prosperous blacks!! Ukiangalia tokao enzi ya O.J. Simpson; Tyson; Evander Holyfield ;Michael Jackson; Tiger Woods; Arthur Ashe [ Alipata HIV through blood transfusion] Jesse Jackson Jr. [ congressman from Illinois}; Malcolm X; Martin Luther King; na sasa Bill Cosby. Kumbuka huyu Bill Cosby anashtakiwa na wanawake kwa kuwabaka miaka thelathini iliyopita; marafiki zake aliokuwa anastarehe nao wakati huo kwenye kundi lao akina Hugh Heifner na Jack Nicholson wao hawajaguswa na tuhuma kama hizo!!
 
Afrika haina hao watu, na kama wapo mbona hawajaisaidia Afrika?
 
Wewe mwafrika huna faida yoyote kwa mkoloni huyo na katika njia yoyote ile na ndiyo maana jambo lolote kubwa duniani lazima walianzishe wao kisha mletewe nyie dunia ya mwisho.
 
Tatizo sio wao kutuonea, kuna sheria na viwango walivyojiwekea ambavyo lazima vifuatwe. professor akifika kule unless apelekwe kwa mkataba na kuitwa. Kama ka enda mwenyewe lazima aanzie ground, ajifunze lugha a integrate na wenyeji na ni lazima aanzie kazi zile za kilofa kwani hana elimu wanayoitaka wao. Sasa ndio hapo Waafrika mtalalamika kuonewa na kutengwa.hiyo process ni kwa wahamiaji wote. Nishapiga kifagio na waziri wa Lebanon.
 
Mimi mbona sijafanyiwa hayo madudu yenu?
Siku zako zinahesabika! Subiri siku wazungu waje kukunyang'anya watoto wote hapo kwako, kuwa umeshindwa kuwalea na mkeo nae awekwe mbali na wewe tuone kama huanzi kuokota makopo wee.
 
Hizo ni hisia tu na kutokujiamini.

Mi siamini katika hilo na kama ni kweli linafanyika basi kufanyika kwingine lakini sio Sverige
Wabongo kwa kujifanya wajuaji
Kila kitu wanamshika uchawi Mzungu
 
Mamtu bright yenye asili ya Africa mengi ni kutokana na msuli. ...sasa wanasahau inabidi kumix na social life. ...go on tour Serengeti. ..and vacations ili kuondoa stress.

Mbona hao bright waliounguza fuse ni wengi tu hata hapa bongoland
"walipunguza fyusi" nimecheka sana!
 
Serious allegations hizi ...nijuavyo ni kwamba wanakufanyia brainwashing ya kufa mtu kisha ukishakaa sawa wanakutumia wakimaliza na wewe wanakudump au wakikuona huelekei wanaku frustrate kwa kila njia mwishowe unakuwa na stress za kufa mtu kisha unajimaliza mwenyewe
Oh Dunia.
 
Serious allegations hizi ...nijuavyo ni kwamba wanakufanyia brainwashing ya kufa mtu kisha ukishakaa sawa wanakutumia wakimaliza na wewe wanakudump au wakikuona huelekei wanaku frustrate kwa kila njia mwishowe unakuwa na stress za kufa mtu kisha unajimaliza mwenyewe
Yuko mmoja alitoka URUSI na alikuwa ni supergenius tena alishiriki kwenye masuala nyeti ya SPUTNIK
Karudi TZ pombe na yeye...yeye na pombe
Mpaka Juzi
 
Back
Top Bottom