Genge la mwendazake hawaamini Samia Suluhu angefika hapo alipo wana chuki balaa

Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Unavyo ongea kama wewe hutokuja kufa vile, hongera kwa kutumiwa na team SSH + Kikwete
 
Kwani amefika wapi mkuu, unajua hakuna nchi nyepesi kuiongoza kama tz. Nchi ambayo anzia Bunge,Mahakama, wote wanapigia magoti rais,wananch vilevile nchi ambayo dira yake ni wewe rais na maono yako. Ni easy sana,ndomaana kila anayekuja anafanya yake anaondoka mtasifia pia mta lalamika na kulaumu yeye kamaliza kazi yake. Tuweni serious watupe dira kama taifa pia vipaumbele.
 
Jibu swali, umeisoma ripoti ya CAG?

Kama ulikuwa huijuwi Tanzania, Rais wa Tanzania, ndani ya Tanzania ana mamalaka kuliko Rais wa Marekani. Wengine wote wanaufyata.

Mama ni Muislam, Uislam unatufundisha, jambo baya lizuwie kwa mikono yako, ukiwa huwezi basi kwa mdomo wako, ukiwa huwezi basi lichukie ndani ya mmoyo wako.

Mama ndani ya mwaka mmoja kaonesha kuwa kuna mengi alikuwa anayachukia. Kawarudisha Watanzania matajiri walioikimbia nchi, kaavhia wafungwa wasio na sababu maalum za kufungwa, kabadilisha na kaparaganyisha sukuma gang na bado anaendelea, kisayansi kabisa anawaminya mbavu. Kaarudishia hadhi wengi waliominywa hadhi zao na bwana yule. Hujayaona ya Kinana? Basi hata ya Nape na January ,bila ya kuwataja wengine wengi.

Huyaoni yote hayo? Utakuwa Thumun bukumun.
Alokuwepo na WA sasa ni VYAMA tofauti? Walotumika ILANI tofauti? Kama ni Kweli alopita alikuwa na mapungufu kwann hamtaki KATIBA mpya? Unadhani utashi binafsi wa kiongozi unatosha kutatua changamoto zote bila makosa? Jibu hoja🙂
 
Nimekuuliza swali unasema hoja yangu dhaifu. Wewe mwenye hoja iliyo na nguvu twambie ushetani huo upo wapi tuoneshe kwa vielelezo tuvione maana mimi nimekuonesha kwa huo mfano wa kati ya mambo yaliyofanyika awamu ya tano. Acha hadithi za vijiweni leta facts.
Awamu ya tano ilijaa matendo ya KISHETANI sana. Kupigwa risasi kwa Mh. Tundu Lisu, kuuawa kwa Alphonce Mawazo huko Geita, Kupora uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu, kutumia style ya wasiojulikana kuumiza watu, kuzuia mikutano ya vyama vya siasa vilivyopo kisheria, Kuwatesa wapinzani, kuzuia watumishi wa umma kuongezewa stahiki zao za madaraja na nyongeza za kila mwaka iliopo kisheria na mengine mengi.
 
kiongozi mzuri utamjua pindi atakapokufa,kama amefariki msiba wake lazima uwe na nyomi la watu ila kama hauna nyomi la watu ujue hapo palikuwa hamna kiongozi
 
Huyo bibi mtamtetea sana lakini kichwani.... ngoja nisimalizie
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
 
Huku nitokusoma historia ya nyuma, viongozi(Marais) waliopita walishindwa kuweka Rais aliyemfuatia kwa sababu ya mashinikizo ndani ya Chama. Na matokeo yake walikuja marais wasiowatarajia. Tazama Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia. Hakuna Rais alietegemea mridhi wake angekuwa huyu aliefuatia. Iweje Sukuma gang watuchagulie Rais kirahisi hivi? Wajitafakari karata hiyo imeshapotea warudi kundini maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom