Genge la mwendazake hawaamini Samia Suluhu angefika hapo alipo wana chuki balaa

Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Umejitahidi kutoa povu
 
Mchawi wa Chief Hangaya ni yeye mwenyewe. Unafiki wake ndiyo utakaoendelea kumtesa!
 
Najiuliza ni kwa nini watu wanapambana na marehemu?

Nikafikiri inawezekana bado sauti yake inaongea ndiyo maana watu tunafanya kazi ya kujibu lakini ukweli kinachoongea ni kile alicholifanyia taifa yaani huwezi futa alama zake kwa maneno bali kwa vitendo kufanya mazuri kumpita huyo marehemu/hayati.

Ukiwa mtaani huku huwezi mkuta wananchi wanamuongelea hayati Magufuli kwa mabaya bali utawasikia watu wakisema tulimpoteza mtu wa maana katika taifa hili. Lugha nyepesi anapendwa maana kama kipindi yupo hai watu walisema kuwa anaogopwa lakini sasa hayupo hai watu wanamuogopa nani? Watu wanaomsemea mazuri sasa ndiyo wakweli maana hawana cha kuogopa.

Wiki iliyopita nimesikia wamama wakilalamikia hospitali fulani imefika wakati wamama wajawazito wanakufa kwaajili ya kukosa huduma. Na manesi wapo bize na stori na kuchat halafu wanawambia wagonjwa mkamwamshe Magufuli wenu huyo. Swali kwako mtoa mada. Je ni kwanini wahudumu wa afya wakawambia hayo wagonjwa? Je mnafikiri mtapendwa na wananchi kwa kumsema Magufuri vibaya? Ukitaka kuupata moyo wa mtu unatakiwa ufanye nini?

Ningeweza kuandika mengi sana kuhusu hii mada lakini kwa haya niliyoandika najua unaweza ukawasaidia wenzako ambao mpo pamoja katika kuiendesha nchi hii.

Ushauri wangu tuwe na upendo kwa watu na tuache unafiki na uroho utaliangamiza taifa hili.
Kama magufuli angekua anapendwa mtaani basi asingefanya hila na kuharibu uchaguzi mkuu wa 2020.
 
Sikudhani kama na wewe utaingia kwenye kundi la pambio.

Mimi sio mtu wa mwendazake,ila ni muumini wa maendeleo. Nani aliewahi kutengeneza miundombinu yote aliyoifanya Magu kwa kipindi chake kifupi tu?.

Kitu gani amekifanya huyo unaemwimbia?,sema hata robo ya aliyofanya Magu. Zaidi ya kurudisha genge la wezi kwenye wizara kitu gani kingine amefanya?.

Mnatumia nguvu kubwa kumpromote,ili-hali hakuna haja ya kutumia nguvu,mazuri yanaonekana tu kwa watu

Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni.
 
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Mnatumia nguvu kubwa sana kutuhadaa! Inaonekana kuna mkakati maalumu unafadhiliwa na watu maalumu, Watanzania si wajinga kiasi hicho, matendo ya mtu ndiyo hudhihirisha vile mtu alivyo.

Watu huchukia matendo na wala hawamchukii mtu personally, hizo tozo muasisi ni huyu aliyepo lakini bado unamhusisha asiyekuwepo.

Huyu aliyepo kuna mradi gani mpya aliouanzisha? Yote ni kuziba viraka tu, au ni Royal tour? Ukianzia ujenzi wa vituo vya afya, stendi za Mikoa, madaraja makubwa, mradi wa umeme, standard gauge, ujenzi wa ofisi za wizara Dodoma, ujenzi wa hospitali n.k zote hizo muasisi ni mtangulizi wake, hata kama kulikuwa na mapungufu ni ya kibinadamu tu, si kama mnavyotaka kutuaminisha.

Haya ni yale Makundi matano aliyoyataja Makonda, naona alisahau mengine kama Mafisadi, watoto wa matajiri wa njia za panya, vyeti vya kughushi, waliotumbuliwa, wanasiasa uchwara n.k.
 
Nakumbuka mwl flani wa Geography, akifika darasani Mara ya kwanza, anaomba kuona notes za mwl wenu wa Geog wa zamani, Mara anaanza kusonya na kudharau, anauliza hivi huyu alikuwa mwl au kibaka? Chomeni hizo daftari ni uchafu mtupu, Mimi ndio mtaalamu!!!

Miafrica ndivyo ilivyo!!!
Watu wasiojiamini ndivyo walivyo, wameona wanafanya tofauti na matarajio ya Watanzania wanaanza kusingizia mambo, Watanzania wa Leo siyo wa jana.

Hivi leo hatusikii tena suala la kubana matumizi ili fedha ikafanye shughuli fulani ya maendeleo, ni mwendo wa kazi na bata tu, tukilalamika wanatudhihaki, " eti kelele zimekuwa nyingi na amezipenda kelele zetu" hii ni dhihaka kwa Watanzania, watu wanalalamika maisha magumu siyo kwa kuigiza, ilibidi viongozi wetu wapunguze matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo na safari za nje.

Leo hii unakwenda Marekani na msafara wa viongozi kadhaa eti kuzindua Royal tour, kulikuwa na ulazima gani wa kufanya hivyo, kwani ikizinduliwa akiwepo barozi isingefaa?

Kuna utafiti gani umefanyika kuonesha kuwa Royal tour itaongeza watalii? Kama hadi leo vivutio vyetu havijulikani Marekani licha ya jitihada za awali basi sidhani kama kuna tija kwa hili linalofanyika sasa.
 
Kutesa kwa zamu. Mfumo wa ccm Mwenyekiti ndie mmiliki wa chama wakati huo
 
Sikudhani kama na wewe utaingia kwenye kundi la pambio.

Mimi sio mtu wa mwendazake,ila ni muumini wa maendeleo. Nani aliewahi kutengeneza miundombinu yote aliyoifanya Magu kwa kipindi chake kifupi tu?.

Kitu gani amekifanya huyo unaemwimbia?,sema hata robo ya aliyofanya Magu. Zaidi ya kurudisha genge la wezi kwenye wizara kitu gani kingine amefanya?.

Mnatumia nguvu kubwa kumpromote,ili-hali hakuna haja ya kutumia nguvu,mazuri yanaonekana tu kwa watu

Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni.
Alifanya nini lile jiwe?
 
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Kuna watu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
FAIZA FOX, huoni kuwa saiz Kuna CHAMA ndani ya CHAMA? Nikumbushe alokuwepo alikuwa mgombea BINAFSI yule au chama chenu? Mbona mnachangia kana kwamba aloenda alikuwa MPINZANI?
Jibu swali "umeisoma ripoti ya CAG?" wewe unaleta porojo.
 
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Waambie hawa pimbi.Wamejaa chuki tu,hawana hoja.Halafu inaonesha jinsi gani wana kiwango kidogo cha elimu;wanasema mama kashindwa kudhibiti mfumko wa bei,Sasa ni nchi gani duniani bidhaa hazijapanda bei!Hawajui dunia inapitia wakati gani saiv
 
Nakumbuka mwl flani wa Geography, akifika darasani Mara ya kwanza, anaomba kuona notes za mwl wenu wa Geog wa zamani, Mara anaanza kusonya na kudharau, anauliza hivi huyu alikuwa mwl au kibaka? Chomeni hizo daftari ni uchafu mtupu, Mimi ndio mtaalamu!!!

Miafrica ndivyo ilivyo!!!
Yote kwa yote ukweli utabaki palepale;Magufuli hakuwa na sifa za kuwa raisi,maana alikuwa muuaji zaidi ya Iddi Amini.Sasa unaua unaowatawala halafu utawatawala kina nani!
 
Mnachekesha,jf nyie wachache tu ndio hamumpendi,Magu tutamkumbuka daima.

Mama nae uwanja wake huu,afanye mazuri tu akumbukwe pia.

Ya Magu hamuwezi futa,kitabu Kiko wazi andikeni historia nzuri,tena tutampongeza sana tu.
Magu ameuma watu wewe!
Magu ameua watu wengi we!
 
Wakumbushe pushgang kuwa Sabaya kwa sasa yuko kwa gereza na Bashite anahofia kumkuta yale ya Roma & Bensaa8
 
Back
Top Bottom