Genge la mwendazake hawaamini Samia Suluhu angefika hapo alipo wana chuki balaa

Mnachekesha,jf nyie wachache tu ndio hamumpendi,Magu tutamkumbuka daima.

Mama nae uwanja wake huu,afanye mazuri tu akumbukwe pia.

Ya Magu hamuwezi futa,kitabu Kiko wazi andikeni historia nzuri,tena tutampongeza sana tu.
Magu ameuma watu wewe!
Ni huyu hapa au kuna mwingine? 👇

2952362_Q0f.jpg

2952061_JamiiForums569115795.jpg
 
Mleta mada unatuchanganya kwa mahaba yako yaliyokupofusha.

Yaani unadiriki kabisa kutuambia kwamba kiongozi wa sasa ni the best hata kama ameshindwa kumanage matatizo ya kiuchumi.

Uchumi ndio kila kitu mkuu.

Ukishindwa kuumanage huwezi kuwa bora.
Kwa nini mnamwekea mama vikwazo
 
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Mwendazake alikuwa muuaji mwenye roho ya shetani
 
Hapo ndio unakosea, kuweka watu kwenye mabox. Kumkosoa Samia haiminishi unamtetea Magufuli. Wapo watu wengi ambao hawakukubaliana na Magufuli na wanaona makosa ya Samia. Jaribu kuangalia mapungufu ya kiongozi peke yake bila kujificha nyuma ya mwingine. After all, wote ni binadamu, kwanini wasiwe na makosa? Samia kuna mambo anachemsha sana, tena sana.
 
Yaani sukuma gang wanaleta hoja za kijinga kama mama anaongozwa na msoga gang sijui wanaweza thibitisha hayo kwa kutumia ripoti ya nani wakati sisi tuna vithibitisho Toka mahakama ya Arusha kesi ya Sabaya, mteule wa jiwe,kauli ya Mwigulu waziri kusingizia zile MAiTI kwenye viroba mto ruvu eti ni wahamiaji haramu,mgogoro wa lighorifa kati ya makonda mteule wa jiwe na gsm na madudu yaliyomo katika ripoti ya CAG,ununuzi wa mtambo wa sukari kupitia tanroad,Hela iliyopelekwa Mwanza bila kuoñesha hiyo fedha mpokeaji ni nani,WIZI kwenye miradi ya kimkakati uliofanywa na madc Marc na maded waliokimbilia bungeni,Kuna mded alipelekewa tzs bn 450 ujenzi wa hospitali huku yeye alijenga kwa bn 250 tu,Sasa hivi ni mbunge jafo anamjua huyo aliyepita kwenye uchafuzi mkuu 2020
Utawala wa yule mzee ulikuwa wa kifisadi haswaa
 
Ambao wanamkumbuka magufuri ni wengi kuliko wale wanaomchukia.hakuna jinsi acha maisha yaendele.
 
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
Kwa kweli wanapata tabu sanaaa, good thing is there is no possibility of having a president from sukuma gang in the near future!
 
Nakumbuka mwl flani wa Geography, akifika darasani Mara ya kwanza, anaomba kuona notes za mwl wenu wa Geog wa zamani, Mara anaanza kusonya na kudharau, anauliza hivi huyu alikuwa mwl au kibaka? Chomeni hizo daftari ni uchafu mtupu, Mimi ndio mtaalamu!!!

Miafrica ndivyo ilivyo!!!
Huyu ticha atakuwa Magu na walimu wa Jogi was zamani watakuwa wale walidaiwa " wanawashwa' teh! teh !
 
Vipi kauli ya rais samia aliposema viatu vya Magufuli havinitoshi? Leo unasema magufuli hajafanya kitu tupunguze mihemko na chuki tusimamie ukweli
 
Back
Top Bottom