Hayo yamesemwa na Mh.Tundu Lissu bungeni muda mfupi ingawa kwa uzalishaji madini ndio sehemu ya nne kwa Uzalishaji madini barani Africa je wanapaswa kama inavyostahili wananchi wa eneo hilo? Tujadili kwa pamoja.
Jamani ni vyema tunapokuwa tunachangia tuwe wa kweli kwa hoja tunazozizungumza. Nasikitika sana kuona baadhi ya mijadala inaendshwa kwa unazi wa vyama vya siasa. Nimesikiliza na kutazama bunge leo hii Mheshimiwa Tundu Lissu alipokuwa kichangia alijaribu kurefer different refrences kuhusu sehemu mbalimbali duniani zenye rasilimali na madini ambapo Geita ni ya pili kwa kuwa na resources ya madini lakini ndiyo ya kwanza kwa umasikini ambapo amejaribu kueleza athari zake ikiwemo kuibuka kwa machafuko ya ugomvi wa rasilimali kama ilivyo Sudani ya Kusini katika mji wa Abyei, eneo la Kabinda huko Angola. Sikusikia kama amesema kuwa Geita ni wilaya ya kwanza kwa umasikini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.