Nimesoma gazeti la the East Africa la wiki hii nikakutana na kichwa cha habari "Security Blow as Treasury Slashes Budget for Crime War" Habari hii imelenga kuonyesha kuwa Tanzania sio salama, kama mjuavyo nchi za magharibi zimeonya raia wake kutembelea Kenya kwa sababu za kiusalama, naona Wakenya wanataka kuifanya Dunia kumani kuwa Tanzania hakuna usalama kwa kuzungumzia mabomu ya Arusha na hatari ya Ugaidi, wameenda mbali na kutumia picha ya Kulipuliwa ubalozi wa Marekani kuhalalisha ajenda yao.