The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,479
- 17,347
Trump aliwahi kusema thanks for social media we can fight back fake news.
Nawaza kipindi ambacho hizi mainstream media ndio chanzo kikuu cha habari si wamezushia watu wengi sana?
Juzi New York Times walitoa habari kua Urusi imewalipa hongo wapiganaji wa Taliban kuwaua wamarekani au waingereza. Hiyo habari ikabebwa kama ilivyo na Washington post, cnn, msnbc, ikakuzwa balaa.
Mbaya zaidi Trump akatuhumiwa kuwa amepewa taarifa akaipuuza, hachukui hatua, hataki kuwalinda wamarekani, amekiuka kiapo.
Kama kawaida chanzo chao cha habari hua ni 'source', au anonymous source au someone with knowledge, au someone not authorized to speak in public. Trump alisema sasa ni wakati watu tuwe tunadai kujua hiyo source ni kitu gani. Isiwe mtu anatunga uzushi anajificha kwenye source, our source within the Trump administration.
Sasa imegundulika kua hiyo habari ni uzushi, uzandiki na uongo kwani hata CIA wenyewe wanasema ni habari ya kizushi, Urusi ilisema huo ni uzushi kama kawaida ya NY Times na wala Trump hakuambiwa sababu ni uzushi.
CIA official chose not to tell Trump of Russia bounty report, top adviser claims
Nami nasema thanks to social media, tunaweza kupambana na uzushi.