Gazeti la Mtanzania wana maslahi gani na Zitto?

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
1,143
Ukifuatilia habari na vichwa vya habari mbalimbali za Mtanzania kuhusu Zitto, utagundua zinaandikwa kishabiki na kuelekea kuwa za Ukajanja. Kwa mfano katika toleo la leo wametoka na kichwa cha habari kinaonyesha kuwa Chadema waanzisha vita mpya na Zitto huku wakijua kuwa si hotuba ya Chadema bali kambi rasmi ya upinzani bungeni. Kama hiyo haitoshi, wakaonyesha ukajanja pale waliposema mwenyewe akubali ‘kuajibika' badala ya kuwajibika. Hii inaonesha Mtanzania wanaandika habari za Zitto kiushabiki na kwa kuhemkwa hadi kuanika ukajanja wao. Mtanzania nalo limeingia kwenye orodha ya magazeti ya ukajanja kama yalivyo Habari Leo, Uhuru, Mzalendo na Jambo
 
Kwa hiyo unataka kila siku aandikwe kwa mabaya tu? Jiongezeni bhana chuki za kinafiki hazifai.!
 
kwani hujui yule karani wake aliyekuwa anamtumia akiwa gazeti la mwananchi sasa hivi ni mhariri wa gazeti la mtanzania? au hamumjui msaki?
 
BORA MTANZANIA KULIKO TANZANIA DAIMA LA KISHOGA. Stabilaiza;9674505]Ukifuatilia habari na vichwa vya habari mbalimbali za Mtanzania kuhusu Zitto, utagundua zinaandikwa kishabiki na kuelekea kuwa za Ukajanja. Kwa mfano katika toleo la leo wametoka na kichwa cha habari kinaonyesha kuwa Chadema waanzisha vita mpya na Zitto huku wakijua kuwa si hotuba ya Chadema bali kambi rasmi ya upinzani bungeni. Kama hiyo haitoshi, wakaonyesha ukajanja pale waliposema mwenyewe akubali ‘kuajibika’ badala ya kuwajibika. Hii inaonesha Mtanzania wanaandika habari za Zitto kiushabiki na kwa kuhemkwa hadi kuanika ukajanja wao. Mtanzania nalo limeingia kwenye orodha ya magazeti ya ukajanja kama yalivyo Habari Leo, Uhuru, Mzalendo na Jambo[/QUOTE]
 
Mhariri Mkuu wa gazeti la Mtanzania ni Denis Msacky ambae alikuwa Mwananchi akawa anapewa makala na Zitto zichapwe na ni marafiki wakubwa sana ila mmoja ni kibaraka and you can guess who na Msacky huyu huyu ndio walihusishwa kupika tukio la kutaka kutekwa msacky na kupakuliwa na ina mwigulu kwa kuihusisha CHADEMA huku Zitto akiwa pembeni akikenua meno ndani ya studios za Star Tv kulkopelekea pia ubambikiwa kesi fake Lwakatare ya ugaidi!!!

Zitto ni taasisi na pia wakati huo huo ni mradi wa watu,sio Magazeti tu bali hata radios na mfano fuatilia clouds fm utagundua kitu kwani watu wamewekeza mamillion ya kuwabrand mbuzi wao ili uchaguzi ukifika waje watuuzie kwenye magunia!!!!!!!
 
Inamaana mtu akimtetea Zitto bas ni Ukanjanja! Kweli we umeshikwa kunako na team ya Mbowe!
 
Zitto yupo kambi ya LOWASSA. Gazeti la MTANZANIA ni la ROSTAM swaiba wa LOWASSA.
 
Usaliti na ubinafs wa zzk unaweza kuufananisha na mbwamwitu, mbwamwitu kama ajashiba name mwenzake bado anamasalia ya damu asipojipangusa haraka analiwa yeye.
 
jamani msijipe moyo kwenye hamna zito yuko sawa na ataendelea kuwa vizuri cdm mnatoa povu kwa maana mnajua kifuatacho mbele mpka ndoa yenu ya bila anwani zito yuko kimya, kwa taarifa yenu act mnaitangaza wenyewe, yenyewe bado haijaanza kampeni ikianza mtakubali mfyuuuu
 
Mhariri Mkuu wa gazeti la Mtanzania ni Denis Msacky ambae alikuwa Mwananchi akawa anapewa makala na Zitto zichapwe na ni marafiki wakubwa sana ila mmoja ni kibaraka and you can guess who na Msacky huyu huyu ndio walihusishwa kupika tukio la kutaka kutekwa msacky na kupakuliwa na ina mwigulu kwa kuihusisha CHADEMA huku Zitto akiwa pembeni akikenua meno ndani ya studios za Star Tv kulkopelekea pia ubambikiwa kesi fake Lwakatare ya ugaidi!!!

Zitto ni taasisi na pia wakati huo huo ni mradi wa watu,sio Magazeti tu bali hata radios na mfano fuatilia clouds fm utagundua kitu kwani watu wamewekeza mamillion ya kuwabrand mbuzi wao ili uchaguzi ukifika waje watuuzie kwenye magunia!!!!!!!
Ndiyo maana, alihama lini Mwananchi na kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom