Bibi Ntilie
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 245
- 8
Asubuhi nilipigiwa simu na jamaa yangu akaniambia nitafute gazeti la MAJIRA la leo Jumapili. Nimelitafuta gazeti hilo kwenye stalls za jirani na zile za mbali zaidi lakini sikuweza kupata gazeti hilo. Je kuna anayeweza kunnijuvya gazeti hilo lina habari gani kiasi cha kununuliwa na kwisha kwa haraka kiasi hicho? Namtafuta kwa simu aliyenipa habari hizi simpati!!!