Gavana wa BoT dhidi ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, cheo kipi ni kikubwa?

Ushamba mbaya sana

Umeshaambiwa hivyo ni Presidential appointee

Kama unataka ukubwa wa cheo na heshima ungane na Mo Dewji au Bakhresa kufanya biashara

Tangu lini umesikia mtumishi wa uma ameweza kuajiri watu zaidi ya 3,000 na anamiliki viwanda

Hata wewe unaweza kuwa Governor hapo BOT, Kumbuka Taasisi ina wataalamu wake na wafanyakazi wake wa miaka mingi

Governor haendi pale BOT kufundisha watu kazi, Wafanyakazi wa BOT kama taasisi ya muda mrefu walishajijenga wanajua mbivu na mbichi za uhalisia wa mambo

Mwambieni Tutuba asije aka lazimisha watu wa Print pesa kama yule Jamaa yake aliyetwaliwa

Mwambieni Tutuba Uchumi ni Principals na hauna siri, Ukigusa Variable moja unaweza yumbisha kila kitu

Kazi za Adiministration kila mtu anafanya, Unaweza mtoa mtu BoT akasimamie hospital ya Mlongazila na akaperform tu

Ukiwa na kiburi ndio unaweza kushindwa kuperform, Tutuba amezungukwa na wataalamu hapo BOT hana kazi ngumu labda awe kiburi

Ukitaka heshima wewe fanya biashara au uwe Unique sana kama Albert Einstein na Newton utakumbukwa kinguvu tu bila wewe kuwepo

Hakuna atakayekukumbuka kuwa ulikuwa Governor au Rais wa nchi bila kuleta unique ideas na innovations

Tunawakumbuka akina Newton's au Einstein kwa ideas zao

Tunawakumbuka Bill Gates na Mark kwa ideas zao unique

Ukitaka kujua ukubwa wewe fanya mambo unique na yenye heshima utapata ukubwa tu
Umebwabwaja tu
 
Kuna maswali mengine yanachekesha Sana ingawa Yana logic...
Hivi mfano katibu mkuu kiongozi na waziri kama waziri wa michezo Nani mkubwa?

Au mkuu wa mkoa Dar na waziri kama waziri wa wanawake na watoto Nani ana "status"anaweza influence mambo?...

Kuna vyeo vikubwa Kwa nje lakini Kwa ndani hamna kitu..
Unaweza kukuta Makamu wa Rais Hana nguvu Kwa Rais kama waziri ofisi ya Rais ....au katibu wa Ikulu...

Maswali mengine hayanaga jibu moja
Kwa kweli aisee
 
Mshahara wa gavana uko regulated na IMF na World Bank, Fuatilia Gavana anamshahara mkubwa kumzidi Rais, Rais yeye anamzidi Gavana Kwa malupu lupu na wizi wizi
sasa je Rais akipanga mshahara wake uwe mkubwa zaidi ya Gavana, nn kitakua?

Kuwa regulated na IMF au WB sio kigezo kikuu, couz Rais anaweza panga yeye apokee mkubwa na hakuna kitu atafanywa.
 
Ni kanuni za na miongozo akitaka kuamua ni kurudi awamu ya malipo ya Kikwete, it was around 30-40 milioni kwa Rais na posho karibia 100+ , Rais on average hakosi 300 kwa mwezi ukiacha wizi wizi aina zote keep bajeti, online allocation hewa na etc
 
Ushamba mbaya sana

Umeshaambiwa hivyo ni Presidential appointee

Kama unataka ukubwa wa cheo na heshima ungane na Mo Dewji au Bakhresa kufanya biashara

Tangu lini umesikia mtumishi wa uma ameweza kuajiri watu zaidi ya 3,000 na anamiliki viwanda

Hata wewe unaweza kuwa Governor hapo BOT, Kumbuka Taasisi ina wataalamu wake na wafanyakazi wake wa miaka mingi

Governor haendi pale BOT kufundisha watu kazi, Wafanyakazi wa BOT kama taasisi ya muda mrefu walishajijenga wanajua mbivu na mbichi za uhalisia wa mambo

Mwambieni Tutuba asije aka lazimisha watu wa Print pesa kama yule Jamaa yake aliyetwaliwa

Mwambieni Tutuba Uchumi ni Principals na hauna siri, Ukigusa Variable moja unaweza yumbisha kila kitu

Kazi za Adiministration kila mtu anafanya, Unaweza mtoa mtu BoT akasimamie hospital ya Mlongazila na akaperform tu

Ukiwa na kiburi ndio unaweza kushindwa kuperform, Tutuba amezungukwa na wataalamu hapo BOT hana kazi ngumu labda awe kiburi

Ukitaka heshima wewe fanya biashara au uwe Unique sana kama Albert Einstein na Newton utakumbukwa kinguvu tu bila wewe kuwepo

Hakuna atakayekukumbuka kuwa ulikuwa Governor au Rais wa nchi bila kuleta unique ideas na innovations

Tunawakumbuka akina Newton's au Einstein kwa ideas zao

Tunawakumbuka Bill Gates na Mark kwa ideas zao unique

Ukitaka kujua ukubwa wewe fanya mambo unique na yenye heshima utapata ukubwa tu
Uliuekewa Uzi kweli?
 
Ni kanuni za na miongozo akitaka kuamua ni kurudi awamu ya malipo ya Kikwete, it was around 30-40 milioni kwa Rais na posho karibia 100+ , Rais on average hakosi 300 kwa mwezi ukiacha wizi wizi aina zote keep bajeti, online allocation hewa na etc
Tupe evidence.Mashahara wa Rais pia ni regulated labda kwenye posho huko.
 
Gavana wa bank ni mkuu wa kibubu chote mkuu.
Katibu ni mtendaji kqenye masuala ya uongozi lakini Gavana ni mkuu wa jiko usimchukulie poa
Katibu pia naye ni mtendaji wa BOT katibu ndie anasimamia mambo yote yanayo husu fedha gavana awezi kuamua bila kumshirikisha katibu
 
Back
Top Bottom