Gavana wa BoT dhidi ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, cheo kipi ni kikubwa?

Dah aibu naona mimi,Gavana usimchukulie poa
Ushamba mbaya sana

Umeshaambiwa hivyo ni Presidential appointee

Kama unataka ukubwa wa cheo na heshima ungane na Mo Dewji au Bakhresa kufanya biashara

Tangu lini umesikia mtumishi wa uma ameweza kuajiri watu zaidi ya 3,000 na anamiliki viwanda

Hata wewe unaweza kuwa Governor hapo BOT, Kumbuka Taasisi ina wataalamu wake na wafanyakazi wake wa miaka mingi

Governor haendi pale BOT kufundisha watu kazi, Wafanyakazi wa BOT kama taasisi ya muda mrefu walishajijenga wanajua mbivu na mbichi za uhalisia wa mambo

Mwambieni Tutuba asije aka lazimisha watu wa Print pesa kama yule Jamaa yake aliyetwaliwa

Mwambieni Tutuba Uchumi ni Principals na hauna siri, Ukigusa Variable moja unaweza yumbisha kila kitu

Kazi za Adiministration kila mtu anafanya, Unaweza mtoa mtu BoT akasimamie hospital ya Mlongazila na akaperform tu

Ukiwa na kiburi ndio unaweza kushindwa kuperform, Tutuba amezungukwa na wataalamu hapo BOT hana kazi ngumu labda awe kiburi

Ukitaka heshima wewe fanya biashara au uwe Unique sana kama Albert Einstein na Newton utakumbukwa kinguvu tu bila wewe kuwepo

Hakuna atakayekukumbuka kuwa ulikuwa Governor au Rais wa nchi bila kuleta unique ideas na innovations

Tunawakumbuka akina Newton's au Einstein kwa ideas zao

Tunawakumbuka Bill Gates na Mark kwa ideas zao unique

Ukitaka kujua ukubwa wewe fanya mambo unique na yenye heshima utapata ukubwa tu
 
Kwenye utumishi katibu mkuu siku zote ni mkubwa, japo kiutendaji mkuu wa taasisi anaweza kuwa na majukumu nyeti na muhimu zaidi.

1. Mfano Katibu Mkuu wizara ya fedha (ambaye pia ni paymaster general) vs. Governor wa BoT

2. Katibu mkuu wizara ya ulinzi na JKT vs. CDF

3. Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani vs. IGP

N.K

Katibu mkuu ni mkubwa kwa mkuu wa taasisi yoyote. Na kuna mambo lazima yeye aidhinishe 😃. Heshima lazima iwepo.

BTW, zote ni nafasi za kumsaidia Mheshimiwa Rais, kwahiyo yeye ndiye anapanga nani anafaa wapi.
 
Kwenye utumishi katibu mkuu siku zote ni mkubwa, japo kiutendaji mkuu wa taasisi anaweza kuwa na majukumu nyeti na muhimu zaidi.

1. Mfano Katibu Mkuu wizara ya fedha (ambaye pia ni paymaster general) vs. Governor wa BoT

2. Katibu mkuu wizara ya ulinzi na JKT vs. CDF

3. Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani vs. IGP

N.K

Katibu mkuu ni mkubwa kwa mkuu wa taasisi yoyote. Na kuna mambo lazima yeye aidhinishe 😃. Heshima lazima iwepo.

BTW, zote ni nafasi za kumsaidia Mheshimiwa Rais, kwahiyo yeye ndiye anapanga nani anafaa wapi.
Kwa hiyo hiyo Ni demosion yenye heshima kwa Tutuba au?
 
Kuna maswali mengine yanachekesha Sana ingawa Yana logic...
Hivi mfano katibu mkuu kiongozi na waziri kama waziri wa michezo Nani mkubwa?

Au mkuu wa mkoa Dar na waziri kama waziri wa wanawake na watoto Nani ana "status"anaweza influence mambo?...

Kuna vyeo vikubwa Kwa nje lakini Kwa ndani hamna kitu..
Unaweza kukuta Makamu wa Rais Hana nguvu Kwa Rais kama waziri ofisi ya Rais ....au katibu wa Ikulu...

Maswali mengine hayanaga jibu moja
 
Permanent Secretary wa Wizara na Gavana wa Benki Kuu ,cheo kipi Ni Kikubwa?
Tusiwajengee watoto wetu wanaosoma mitandao hizi fikra. Kwamba mtu akiteuliwa tunahoji kama kapanda au kashuka! Nafasi yoyote ya kuteuliwa na mkuu wa nchi ina heshima kubwa mno. Hata akikwambia soma magazeti kila siku halafu uniambie wanasemaje huko mtaani. Utumishi wa umma ni wito kutumikia raia siyo ufahari wa nafsi.#Samahani lakini.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom