Gas tena Tanzania

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
303
49
Kuna habari kuwa gas zaidi imegunduliwa Tanzania, hii inakuwaje East Afica angalia hapa
A%20S%2013.gif
http://www.telegraph.co.uk/finance/...r-share-tip-Ophir-make-another-discovery.html
 
Vitengo vya UFISADI vinazidi kuongezeka. Ni muhimu sana kuiweka nchi hii kwenye mikono salama ili tuweze kuinua uchumi wetu na wananchi wote tunufaike.
 
Nchi imelaaniwa hii inahitaji maombezi gas yote hii lakini bado tunaweka magenerator ya diesel ili tukanunue tupate mwanya wa kula kama siyo uchizi ni nini????
 
Ophir Energy
477.6p +75.6p
Questor says HOLD

Yesterday, the oil and gas explorer announced the biggest gas discovery in its history.

Ophir has a drilling programme in Africa. targeting some of the most exciting geology in the exploration sector at the moment. The company has an interest in 17 oil and gas projects in eight different African jurisdictions.

Alongside its partners, Ophir been enjoying considerable success – and the most recent discovery, at the Jodari-1 well, sent the shares soaring by 19pc.

The well, located off the shore of Tanzania, has made a 4.5 trillion cubic feet (tcf) gas discovery.
 
nyie hamuoni tunavyogombana??? ukishaona tunazidi kugundua, jua wazi kwamba its another congo in the making!!! na wanajua sana nani wa kumpromote.... hawapendi mwenye msimamo, wanapenda mlafi, mzabizabina nk.

Its all unfortunate kwa sasa, tena na hao vijana wanaokuja kwa kasi ya ajabu kutaka kuongoza, lengo lao ni hilo na roles models wao ni akina cheney,
 
the page cant open! I cant browse the page"http://www.telegraph.co.uk/finance/m...discovery.html"
 
Nchi imelaaniwa hii inahitaji maombezi gas yote hii lakini bado tunaweka magenerator ya diesel ili tukanunue tupate mwanya wa kula kama siyo uchizi ni nini????
Mkuu nadhani una habari kwamba hata pesa ya kununulia diesel nayo kwishney!
 
Nchi yangu Tanzania, ni nchi yenye mali nyingi, watu wengi wa ULAYA wananaililia sana.
Usinione kukonda, mafisadi wameninyonya.........
 
Back
Top Bottom