Tanzania ya Samia imefanikiwa kuipoka Kenya Soko la Uganda. Uganda wanaagiza zaidi ya 60% ya bidhaa zao Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,043
49,727
Ukisikia maana ya Kufungua Nchi na diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia basi ndio hii.

Kwa mara ya kwanza Tanzania imeipokonya Kenya Soko la Uganda, yaani Kwa Sasa Uganda inaitegemea Tanzania Kwa Zaidi ya Asilimia 60% ya bidhaa zake zinatoka Tanzania.

Aidha Kwa Sasa Tanzania ndio inauza bidhaa nyingi kushinda Nchi zingine zote za Afrika Mashariki yaani tuna Favourable Balance of Trade.

My Take
Hongera sana Rais Samia,haya ndio mambo tunataka sasa.

====

According to Uganda's finance ministry, the nation's yearly and monthly trade deficits with the rest of the world have decreased as a result of rising export revenues that have more than offset rising import costs.

The finance ministry's monthly report on the state of the economy for July 2023 states, "Between May and June 2023, the merchandise trade deficit narrowed by 12.3 percent from $82.08 million to $247.43 million. Year-on-year, the merchandise trade deficit narrowed by 32.2 percent from $365.11 million in June 2022 to $247.43 million in June 2023,” the report shows.

According to an interview with the Ministry Head of Communications Apollo Munghinda, Uganda exported goods valued at $650.57 million in June 2023. “This represented an 11.1 percent increase when compared to $585.81 million exported during May 2023. This increase was mainly on account of higher export earnings from beans, simsim, cotton, and gold registered during the month,” he noted.

Additionally, according to Munghinda, within the same time period, coffee export receipts for the month were $90.56 million, up 23.6 percent from $73.26 million in May 2023. This increase was mostly related to the increased price of Robusta coffee on the international market, which encouraged exporters to remove beans from their warehouses for sale.

“In comparison to the same month the previous year, merchandise exports grew by 78.2 percent from $365.13 million in June 2022 to $650.57 million in June 2023. This was largely attributed to increased export earnings from maize, simsim, gold, and hides and skins,” he observed on August 29.

The monthly economic performance report for July also reveals that, with 33.9 percent of the market share, the East African Community (EAC) continued to be Uganda's largest export market in June 2023.

Kenya, South Sudan, and the Democratic Republic of the Congo accounted for 31.4 percent, 25.7 percent, and 24.7 percent of all exports from Uganda to the EAC area, respectively.

According to the survey, Asia and the Middle East, which each accounted for 32.8% and 13.8% of Uganda's exports, came in second and third place. “It is worth noting that Uganda’s export earnings from Asia significantly increased from $28.12 million in June 2022 to $213.53 million in June 2023, owing to the increase in gold exports to the region,” the Ministry of Finance report reads.

The value of private sector imports, specifically those of animals and animal products, petroleum products, vegetable products, beverages, fats, and oils, as well as textiles and textile products, has increased by 3.5 percent since May 2023, from $867.89 million to $898 million in value.

Comparing June 2022 to June 2023, it can be seen that merchandise imports increased by 23.0%, from $730.24 million to $898.0 million. This growth was primarily fueled by higher import quantities of goods including minerals (excluding petroleum products), vegetables, meat, dairy, drinks, and fats and oils.

According to statistics from June 2023, the Ministry of Finance reports that Asia continued to be Uganda's top supplier of imports, making up 36.9% of all imports. China and India contributed the most to Asia, making up a combined 74.4% of the region's imports.

The EAC, the Middle East, and the Rest of Africa were noteworthy regions as well; they contributed 26.9%, 15.3%, and 10.5% of all imports, respectively. Tanzania and Kenya, which together account for 62.5 percent and 33.5 percent of Uganda's overall imports, have emerged as the EAC's two main suppliers of goods.

According to the report's trade balance by region, Uganda had deficits in its trade with Asia, the rest of Africa, the Middle East, the EAC, and the rest of Europe in June 2023, totaling $117.72 million, $69.59 million, $48.28 million, $21.03 million, and $1.74 million, respectively.

Bussines Insider Africa
 
tunatakiwa tu kujipanga vizuri hata hii bandari tuiendeshe sisi wenyewe, au hata tukimpa mwekezaji aendesha, awe dp world au yeyote yule, kuwe na vipengele vizuri vya mkataba kwasababu sisi ndio tupo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kubembelezwa, sisi hatujibembelezi kwa wawekezaji wa bandari kwa sasa kwasababu miundombinu iliyopo ni mizuri na inaweza kumpa faida mwekezaji yeyote. SGR tunayojenga kwa pesa zetu hatutarajii ije imfaidishe zaidi mgeni/mwekezaji atakayepitisha mizigo yake humo kuliko sisi, ama la basi hata pasu kwa pasu tuwe tunafaidika, sasa mamako alichofanya, ameuza bandari zote na wametulalia wakati sisi ndio tulitakiwa tuwalalie. tulitakiwa tuwalalie kwasababu sisi tupo kwenye nafasi nzuri zaidi, tumetumia kodi zetu kujenga barabara na reli, na wawekezaji wanatakiwa kutugombania, sio sisi tuwagombanie.

uwepo tu wa reli ya SGR ikiisha, mzigo utakuwa unasafiri siku moja toka hapa hadi rwanda, burundi au uganda. ni kwasababu tu DP WORLD wameweka bandari kavu Kigali, lakini sisi tukiamua kuweka bandari kavu Nyakanazi au au KIgoma na Mwanza, tutapata faida kubwa nyingine. Kagame ametuzunguka pia kwa kuwaambia waarabu sisi tusijenge bandari nyingine ili bandari yao kavu ya kigali isife. na mamako anatoa tu macho hajalijua hilo. yaani, tukijenga bandari kavu Tunduma, Kyela/mbeya, kigoma na mwanza, imeisha hiyo na bandari ya kigali haitafanya kazi sana.
 
Uendeshe mwenyewe Bandari una Ufanisi gani sasa
 
Ukisikia maana ya Kufungua Nchi na diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia basi ndio hii.

Kwa mara ya kwanza Tanzania imeipokonya Kenya Soko la Uganda, yaani Kwa Sasa Uganda inaitegemea Tanzania Kwa Zaidi ya Asilimia 60% ya bidhaa zake zinatoka Tanzania.

Aidha Kwa Sasa Tanzania ndio inauza bidhaa nyingi kushinda Nchi zingine zote za Afrika Mashariki yaani tuna Favourable Balance of Trade.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1697279054364192958?t=JgorS2WKx72MwfsVwbyZlg&s=19

My Take
Hongera sana Rais Samia,haya ndio mambo tunataka sasa.View attachment 2737591

Itakuwa ndiyo maana Kuna uhaba wa dola, umeme kukatika Kila leo, bandari zinauzwa na serikali yake haitaridhia uwepo wa katiba mpya wala tume huru kabla ya uchaguzi mkuu 2024/25.

Hii inaitwa Ali Bongo style.
 
Inahusikaje na mada?

Kumbe kama tumepata soko kubwa nje lakini viashiria vyote vya mafanikio hayo mbona vinakinzana? Yaani:

1. Dola kwishney!
2. Huduma za serikali kwa umma zina promoka!
3. Ukata hadi bandari ziko sokoni!
4. Haki ndiyo hivyo tena Bora ya Ali Bongo!

Niendelee kuorodhesha?

Mengine muwe mwaambiana ndege huko huko. Huku kwingine tuonyesheni tija.

Maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Kumbe kama tumepata solo kubwa nje kumbe viashiria vyote vya mafanikio hayo mbona vinakinzana? Yaani:

1. Dola kwshney!
2. Huduma za serikali kwa umma zina promika!
3. Ukata hadi sasa bandari ziko sokoni.
4. Haki ndiyo hivyo tena Bora ya Ali Bongo!

Niendelee kuorodhesha?

Mengine muwe muwe mwaambiana ndege huko huko. Huku kwingine tuonyesheni tija.

Maneno matupu hayavunji mfupa.
1.Dola.zingekuwa hazipo maduka yangekuwa empty

2.Huduma zipi zinazoporomoka? Zitaje weka na ushahidi

3.Haaaaa eti ukata Bandari ziko sokoni 🤣🤣🤣🤣

4.Au siyo? Hakuna Haki si ndio? Tena mate chini.
 
1.Dola.zingekuwa hazipo maduka yangekuwa empty

2.Huduma zipi zinazoporomoka? Zitaje weka na ushahidi

3.Haaaaa eti ukata Bandari ziko sokoni 🤣🤣🤣🤣

4.Au siyo? Hakuna Haki si ndio? Tena mate chini.

Hayo si maneno yangu bali BOT:
F4JMTr9aYAACNhH.jpeg

Wanatutakia heri hawa?

F4sPKnNWEAAexEo.jpeg

Wao kujiajiri haijawahi kuwa na maana:

F4yGG3CWUAAWWqZ.jpeg
 
Ukisikia maana ya Kufungua Nchi na diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia basi ndio hii.

Kwa mara ya kwanza Tanzania imeipokonya Kenya Soko la Uganda, yaani Kwa Sasa Uganda inaitegemea Tanzania Kwa Zaidi ya Asilimia 60% ya bidhaa zake zinatoka Tanzania.

Aidha Kwa Sasa Tanzania ndio inauza bidhaa nyingi kushinda Nchi zingine zote za Afrika Mashariki yaani tuna Favourable Balance of Trade.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1697279054364192958?t=JgorS2WKx72MwfsVwbyZlg&s=19

My Take
Hongera sana Rais Samia,haya ndio mambo tunataka sasa.View attachment 2737591

Pundavu! Wee ukijamba ushuzi unaimba Samia. Huna hata aibu. Find yourself some gainful activity to occupy your pussy ass.
 
Uendeshe mwenyewe Bandari una Ufanisi gani sasa
kwani waarabu wametoka ahera, si wanadamu kama wewe, mashine wanazotumia wewe huwezi kununua na kuzitumia, kama wao tunavyojua hawanaga akili huwa wanaajiri wazungu toka ulaya wawaendeshee wewe huwezi kuajiri mzungu akuendeshee? akili kama ya kwako ndio haiwezi hata kuongoza familia tu. hujiamini. ccm ndio wameshindwa, waondoka madarakani waone kama wengine watashindwa kama wao.
 
Wanadamu wanatofautiana ndio maana Waarabu wameendelea kushinda sisi.Tujifunze Kwa mda kwao Kwa kufanya nao kazi baada ya mda wafungashe virago vyao
 
Kumbe kama tumepata soko kubwa nje lakini viashiria vyote vya mafanikio hayo mbona vinakinzana? Yaani:

1. Dola kwishney!
2. Huduma za serikali kwa umma zina promoka!
3. Ukata hadi bandari ziko sokoni!
4. Haki ndiyo hivyo tena Bora ya Ali Bongo!

Niendelee kuorodhesha?

Mengine muwe mwaambiana ndege huko huko. Huku kwingine tuonyesheni tija.

Maneno matupu hayavunji mfupa.
Uzuri ni kwamba unpyuka bila ushahidi ndio maana ukienda dukani hikosi bidhaa,Dola kwishey ya wapi?

Hizo Huduma za Umma kuporomoka ni mdomoni kwako ila kwenye ground ni tofauti

Mwisho kabisa nakupa mambo ambayo hupendi kuyaona 👇
-859918486.jpg
1758616190.jpg
-83981275.jpg
-1332094456.jpg
714659971.jpg
-588467732.jpg
-62163727.jpg
1839478334.jpg
-40152490.jpg
17627913.jpg
 
Back
Top Bottom