Gari za serikali zimepotea sio hizi bus za Esther?!

Sheria ya ununuzi wa umma unataka taasisi ya umma/wizara ipokee vifaa au huduma kosha ndipo malipo yafanyike. Kinachotakiwa tulitakiwa tuaambiwe je kama vifaa havijapokelewa ina maana pesa zipo. Taasisi inayotuhumiwa mbona imepata hati safi? Kwahiyo ina maana pesa zipo.

Tukumbuke dunia iliingia athari za covid na vita vya ukraine utengenezaji wa magari umekuqa ninchangamoto kubwa sana duniani kwasababu ya kukosekana kwa Micro chips ( Vifaa vya kitehama ) vinavyotengeneza magari.

Lakini pili kuna changamoto kubwa ya usafirishaji wa meli duniani kwa sababy ya ujazo wa meli kwenye maeneo ya bandari katika maeneo yanakotengenezwa magari( South Africa, Japan, Uinngereza Nk. )

Lakini pia tutofautishe magari yanayoletwa na wafanyabiashara na zile za jumuia ya UN.

Pia tujiulize Taasisi inayotuhumiwa magari kutokufika kwa wakati je si kuna maeneo mengine pia hayakufika na tumeona imeonyeshwa kwenye ripoti lakini wananunua wenyewe na sio GPSA mbona wao hatuwasakami?


Tuache vyombo vya bunge na kamati zake ziendelee kufuatilia kama ambavyo imesemwa bungeni ili watujuze. NI VEMA TUPITIE SHERIA YA UNUNUZI vifaaa vinapokelewa ndipo malipo yanafanyika.kwahiyo hapa tujiulize malipo yamekwishafanyika? Kama hayafanyika basi hakuna upotevu wa fedha kama ambavyo inazungumzwa humu na kwenye ripotu hiyo. CAG ni taasisi kubwa tusubiri kamati za bunge zifanye uchambuzi wake ndipo tuje turudi kujiuliza je sheria ilifuatwa?
Tusubiri vyombo vya bunge viendelee kufuatilia, unadhani kila mtu ana imani na hilo bunge? Zaidi ya nusu ya wabunge huko ndani ikiwemo waziri mkuu, wako bungeni kwa kunajisi uchaguzi. Sasa kama wabunge hawakupata ubunge kiadilifu, unategemea wasimamie uadilifu?
 
Kiukaguzi hata kama magari yamenunuliwa na yanafanya kazi ila wakati anakagua akakuta hayakuingizwa kwenye Ledger au delivery note hazipo basi anasema magari husika hayakupokelewa. Mana ukipokea kifaa chochote ni lazima ukiingize kwenye ledger husika na kuwepo na delivery note inayoonyesha vifaa vimepokelewa.
Ukummbuke pia Kuna watu walioajiriwa Kwa AJILI ya kufanya hizo transaction na Kuna wakaguzi wa NDANI Kila wilaya na wizara,how come mpaka CAG akute plain?
 
Back
Top Bottom