Sema uliko tukupe ushauriWadau natafuta gari ya kukodi yenye uwezo wa kwenda off road. Yaani iwe 4WD.
Mwenye nayo ani-PM tuongee biashara.
Mi nipo das'lam maeneo ya mbezi beach Preta!
mbona hata mimi niko mbezi beach maeneo ya rainbow....wewe uko pande ipi?
Wadau natafuta gari ya kukodi yenye uwezo wa kwenda off road. Yaani iwe 4WD.
Mwenye nayo ani-PM tuongee biashara.