Gari ya kukodi inatafutwa

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Wadau natafuta gari ya kukodi yenye uwezo wa kwenda off road. Yaani iwe 4WD.
Mwenye nayo ani-PM tuongee biashara.
 
mbona hata mimi niko mbezi beach maeneo ya rainbow....wewe uko pande ipi?

Nimecheka kweli-usije ukakuta mko nyumba moja!-ahaaaaaaaaha.
Si ingekuwa bora mkafikia muafaka wa biz kwanza au la muhimu sasa ni kukutana wana Mbezi Beach?:tape:
 
Mie ninayo Hilux single cabin lakini lazima nijue gari litatumika
kwa shughuli gani na wapi ilinione kama shemeji yako atakubali
nipe taarifa kwenye PM
 
nina Land Cruiser VX and Land Rover 130 (double cabin), nipatie details za kazi na muda wa kukodi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom