Gari lipi linafaa mazingira haya

Hii ngoma iko delicate sana ,inaweza kukuzimikia muda wowote.alafu mafuta inakula sana cc 1950 na bei yake pia iko juu.
Nadhan unasikia stori za vijiweni kwenu halafu unazileta humu. Nimehamia rasmi Nissan family (xtrail na Nissan Gloria) toka February 2018.
 
Wakuu salaam.

Gari lipi linafaa kwa safari za hapa mjini,kutoka king'azi shule hadi posta kila siku.

Bajeti yangu ni 9mil na nategemea kuliendesha kwa maisha ya mshahara sina chanzo kingine.naomba unishauri kwa kuzingatia km per litr

Naomba pia anayejua ni km ngapi kutoka town hadi king'azi shule kule.

IST is the best for you
 
Asante kaka ila naona kama iko chini kwa madimbwi ya kutoka malamba mawili kuelekea mzarendo

Sikusoma vizuri, kama ni hayo maeneo ni issue, nafikiri NISSAN EXTRAIL WATU hawaipendi, ila ukipata -MAANZA HAZIUZWI ghali, ukaikagua vizuri (TAFUTA WATAALAM)- UKAHESHIMU SERVICE (HAITAKAGI USANII) - INAFAA SANA....

RAV YA ZAMANI MILANGO 4 NAYO NI CHOICE NZURI, ROHO YA PAKA, UNAWEZA KUWA MSANII KIDOGO KWENYE SERVICE IKAKUVUMILIA PIA
 
KAMA IST INAKULA MAFUTA KWAKO, NA HUIWEZI KUIMUDU, THEN ANGALIA MAAMUZI YAKO YA KUNUNUA GARI - INAWEZEKANA UMEWAHI, MDA WA WEWE KUNUNUA GARI BADO, LABDA UNUNUE DUET 900CC AU MITSUBISH MINI - AMBAZO NI PASUA KICHWA KWA SPARE WAKATI MWINGINE....
Aiseee yaani kwa mvua hizi na usumbufu wa mwendo kasi inabidi ninunue kigari hata kama nimewahi mkuu
 
Sikusoma vizuri, kama ni hayo maeneo ni issue, nafikiri NISSAN EXTRAIL WATU hawaipendi, ila ukipata -MAANZA HAZIUZWI ghali, ukaikagua vizuri (TAFUTA WATAALAM)- UKAHESHIMU SERVICE (HAITAKAGI USANII) - INAFAA SANA....

RAV YA ZAMANI MILANGO 4 NAYO NI CHOICE NZURI, ROHO YA PAKA, UNAWEZA KUWA MSANII KIDOGO KWENYE SERVICE IKAKUVUMILIA PIA
Hakuna gari sitaki kuisikia kama lav4 hold model,kwanza kanafyonza mafuta utadhani kametumwa kukufirisi
 
5,000 mkuu,sina mishe zaidi nikitoka home ni moja kwa moja kazini na jioni hivo hivo
Hapo maana yake ni Tsh 25000 kwa week. Maana mafuta ya Tsh 5000 ni kama zero tu. Hata hivyo,nakushauri tenga angalau elf30-40 kwa week. Mafuta ya Tsh 5000 ni upepo na unaweza kuua pump tu.
 
Back
Top Bottom