Gari la OBAMA labuma akiwa ziarani nchini Ireland

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
....GARI LA OBAMA....LABUMA NCHINI IRELAND...!

Source: Bloggers
.....hii ilishawahi kutokea pia kwa gari la Rais kikwete


Rais Barack Obama ameanza ziara ya nchi za Ulaya na atatembelea Uingereza,Ufaransa na Poland ikiwa ni sehemu yake ya ziara ya Europe,lakini kwa sasa yuko nchini Ireland na jana wakati anatoka US Embassy ya Dublin-Ireland gari lake aina ya limmo aka The Beast liligoma likiwa getini wakati linatoka na kuamua kulisogeza basi mbele yake ili kuwazuga wananchi wa Dublin waliokua nje wakimsubiri kumpungia mikonoz wasilione gari la Rais Obama lilivyogoma

The Beast aka Cadillac One,inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 1,na lina urefu wa futi 18 na uzito wa tani 8 pia haliingii bomu wala risasi kabisaaaa...

Prezidaa Obama alitembela pande za Moneygall, kijiji kilichoko Ireland ambapo inadaiwa kuwa babu wa babu zake Rais Obama aliishi pande hizo akifanya kazi ya kutengeneza viatu aka shoemaker

....MUUNDO MZIMA WA CADILAC ONE AKA THE BEAST....!
Source: Bloggers

 
Wazungu walinyanyasika - lakini katika teknolojia hakuna garantii ya 100%
 
Wadau hapan sio kwa ajili ya mafuta, hapo Ubalozini hawatumii sana njia hii na pana kimlima kidogo ambacho kulingana na urefu wa gari la obama, lilisababisha hilo tuta liwe kama PIVOT na kufanya "see-saw"
 
Back
Top Bottom