Gari la mbowe bado laleta mjadala facebook

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
485
36
ukifungua link hiyo chini utaona wachangiaji wanavyo funguka wakisema live mbowe ni dhaifu ameshindwa kusimamia pale alipo simama ni kinyonga na ndumila kuwili ane badilika hawa wanasiasa waina hii ni hatari sana hii ni kwa mujibu wa mchangiaji kwenye fb
 
ni heri shibuda anaeonekana ndumila lakini husimamia pale pale anapopaamini tuna kumbuka shibuda alisema wazi ataendelea kupokea ujira wa mwia yani ruzuku ya sitting allowence ndivyo ilivyo leo na hata kesho haihitaji uwende shule shibuda si dhaifu mbowe ni DHAIFU
 
Nikiwa kama mwanachadema alilofanya Mbowe si sawa kama siku anarudisha gari alisema na kuutangazia umma iweje aje kwa mlango wa nyuma na kulichukuwa bila ya kuitangazia umma sababu ya kulichukuwa kwa hili haliko sawa hata kidogo.
 
Tujadili mambo ya msingi. Hata kama Mbowe ataacha kulitumia hilo gari sioni kama itaongeza tija kwa maendeleo ya nchi. Aidha, hiyo ni haki yake kwa kuwa tayari gari hiyo ilishanunuliwa, hata akiicaha haiwezi kurudisha fedha, badala yake inatatumiwa na watazania tu. Mbowe alitaka kufikisha ujumbe kuwa hizo gari ni hanasa, na sasa imesaidia serikali imetangaza kuacha kuagiza mgari ya kifahari. Kwa hiyo suala halikuwa Mbowe hatatumia, bali alimaanisha kuendelea kununua magari ya aina hiyo ni anasa.
 
hata hili ni muhimu,viongozi km hawa sio wakweli kwani mbona wenzake waliongea wakaeleweka vzr,c dhani km kulikuwa na umuhimu wa kudanganya
 
iyo link itatupeleka kwenye group liitwalo tanuru la fikra....na niclosed group so itafunguka kwa members tu wa group na si kwa non members
 
Jamani imetosha tumwache kamanda wetu Mbowe aendeleze harakati kwani hata hiyo gari anayoitumia tunashindwa kuelewa kuwa lina faida hata kwetu kwan linatumika kusambaza elimu ya uraia pia nashangaa sana watu humu mpo sensitive kushabikia mambo ambayo hata utija wake kwa ukombozi ni machache.
 
Back
Top Bottom