Gari ipi bora kati ya Honda CRV na Toyota Verossa

Kumiliki gari ni bajet ya mtu. Kama mimi napenda sana gari kutoka toyota sababu tyt ni popular sana Africa. Muda mwengine ni sifa tu kuagiza spare kutoka nje hasa magari ya ulaya.
 
mkuu chukua honda crv ni gari nzuri nimekuwa nalo kwaka wa 7 sasa halijanisumbua zaidi ya service za kawaida na nasafiri nalo sana,kwa upande wa spare zipo kibao sasaivi tofauti na zamani ni gari ngumu sana pia
 
Hebu kesho siku nzima ukiwa kwenye mishe zako angalia utakutana na CRV ngapi? Hizi gari ni kimeo karibu zote zime park majumbani same.as Vibenz vidogo,freelander, rvr na Nadia zina phase out zeneyewe.

Kwa verosa kama unapenda gari za Engine kubwa chukua brevis


mkuu ulishawai miliki gari hili honda crv? au ni maneno ya mtaaniunasikiliza
 
Honda sikushauri kuna jamaa mmoja alikuwa anamiliki balaa ilikuja kwenye spare mpaks aifate nje ya nchi aliuza kwa hasara sana kiufupi hazifai na hata hiyo verosa majanga ila ina unafuu kidogo kuliko Honda utaja lia nakuapia
Mhh,aisee hii si miaka ya 80?maana kwa spare zipo kibaoooo
 
Achana kabisa na gari inayoitwa HONDA CRV nilishawahi kubwa nayo nikaiuza kwa bei ya kutupwa kwanza spare shida halafu haya ukipata bei yake ni balaa haitaki spare fake ila ulaji wake wa mafuta ni nzuri saaaaaaaaaaana,verosa kwanza mafuta engen kubwa zile tafuta kama Rav 4 itakufaa zaidi

Sasa ulitaka kuweka spare fake?
 
Honda sikushauri kuna jamaa mmoja alikuwa anamiliki balaa ilikuja kwenye spare mpaks aifate nje ya nchi aliuza kwa hasara sana kiufupi hazifai na hata hiyo verosa majanga ila ina unafuu kidogo kuliko Honda utaja lia nakuapia
muongo honda ni strong sana acha kupotosha
 
Watu wana id za ajabu eti kuku mdogo.

Ola mwana chukua gari ya juu km vp hiyo Honda iko poa ila jihakikishie tu spare zipo km zipo chukua hiyo Crv sjui ndo Honda yenye matairi manne au unataka kununua gari ukitaka kwenda sehemu unaulizia vp njia huko zinapitika eeh vp hakuna maji huko madimbwi yale eeh vp mashimo yapo mengi hiyo njia ya mchamba wima
 
Back
Top Bottom