Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

Badili tairi. Kama unatumia tairi zilizokuja na gari, hizo zitakua tairi za winter. Siku zote tairi za winta zinavuma ukiendesha kwa speed kubwa.
 
Fundi WA uhakika lazima acheki na kikombe kilichopo Kwenye gear box na driveshaft.
Hilo TATIZO limeshawahi kunitokea Kwenye Carina Ti hicho kikombe kama kimeisha mara nyingi huwa hivyo au kama grease imekauka Kwenye kikombe
 
Anyway kwasababu anasema gari limeingia hivi karibuni, lakini vinginevyo ningemshauri aangalie mounting kama zipo vizuri
 
Gari kama ina turbo,ni inavujisha upepo hiyo,kagua exhaust au pipe ya boost
Gari ina km ngapi?
Usikute ulibadili oil ya gearbox wewe ukaweka za bongo na za specifications tofauti,
Angalia kuvujisha upepo au oil kama uli change
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom