Car4Sale Gari inauzwa Toyota Raum bei nafuu

Njopekamashamba

Senior Member
Sep 12, 2022
112
54
Gari bado ipo kwenye hali nzuri saana na haina kipengele chochote wala haijawahi kurudiwa rangi bei milioni sita na laki tano 65000000 Toyota Raum old Model eng number EXZ 10 00 70846 +255625977427

IMG-20230118-WA0074.jpg
 
Gari nzuri ila kwa watanzania,Watatoa hapo milioni 2.5 ya old model na mil 1.5 ya number c. So usishangae ukiambiwa 2.5 iko mfuko wa shati.Ila kila la heri.
nashukuru mkuu kwa coment yako ni kweli biashara ya online unatakiwa ujipange kiakili kila linalosemwa unatakiwa uwe na subra broo
 
Gari nzuri ila kwa watanzania,Watatoa hapo milioni 2.5 ya old model na mil 1.5 ya number c. So usishangae ukiambiwa 2.5 iko mfuko wa shati.Ila kila la heri.
Sio kwa watanzania, mfano wewe hiyo gari ungetoa 6.5M boss?. Hilo gari kwa sasa hata 5M ashukuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom