Gari imeibiwa ikiwa na mtoto mdogo ndani yake maeneo ya Mbezi

Mhhh mtoto!. hebu weka na namba za simu ili litakapoonekana mahali iwe rahisi kuwataarifu. Wawahi mipakani kuweka security
 
Jamani tunaomba msaada, gari namba T400DEH Toyota Harrier Rangi ya silver imeibiwa maeneo ya Makonde Mbezi beach nusu saa imepita na kuelekea barabara ya Goba na ikiwa na mtoto mdogo ndani yake.

Tumsaidie mwenzetu...
Wanaweza hata kukadhuru hako katoto wao waondoke zao, dunia yetu hii ambayo mtu anaua kwa ajili ya laki moja!
 
Tuombe Mungu mtoto apatikane akiwa salama , hii tabia ya kuacha watoto kwenye gari ni hatari sana
Hao jamaa wanaweza kudai fidia ili wamwachie mtoto kama sio wezi wa kawaida wa magari
Uhalifu wa namna hiyo (ransom) bongo bado haujafika labda huu uwe wa kwanza.....!
 
Nimesoma kwenye group ya WhatsApp gari ipo Mwenge wrong parking, aliyeleta TANGAZO toa ufafanuzi
 

Attachments

  • IMG-20161023-WA0017.jpg
    IMG-20161023-WA0017.jpg
    40.2 KB · Views: 49
dar ninavyo ifahamu hiyo gari haipo mbali. ipo ndani ya radius ya km 10. na kama jamaa si wa kawaida walisha tayarisha plate namba. makini ni kila gari aina hiyo na rangi hiyo zipewe spcial attention. kila la kheri na poleni.
 
huenda hata hiyo ya kusema wrong parking MWENGE ni ku-divert attention. Polisi wazuie tegeta, mbezi-mwisho, kimara na kibamba Then waanze ku-zero-in. ITAPATIKANA.
 
Gari hilii hapaa limeonekana fuatilia
 

Attachments

  • IMG-20161023-WA0064.jpg
    IMG-20161023-WA0064.jpg
    35.7 KB · Views: 46
Back
Top Bottom