Gari gari linauzwa tshs 4,000,000.00

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Ninauza gari aina Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc.
:car: LINATEMBEA… :car:
Maelezo zaidi wasiliana na 0754489001 au 0658489001
 
hahhaah nyie hamuoni kaweka picha ya gari nyekundu hapo juu linatembea...lol
 
Hili ni jukwaa serious kwa watu wanaomaanisha kufanya mambo makubwa kwenye biashara. JOKES hazikataliwi ila ni vyema kuipeleka sehemu husika. Kuna Jukwaa la Jokes. Tukiendelea kuweka JOKES kwenye majukwaa serious itafikia mahali hakuna mtu atakayechukulia mambo serious hata kwa yale yanayohitaji ulazima wa kufanya hivyo.
 
M 4 kwa myroad ya 1990? I say mbona bei ni kali hiyo?
mie ninalo kama hilo nauza 1.5 ya 1995
 
Mkuu Carina itakuwa lile toleo la Carina t.ako. la nyani? Hata hivyo bei yako na gari vinatoa picha ambayo haieleweki.

Weka picha kabisa
 
Back
Top Bottom