Gari gari linauzwa tshs 4,000,000.00

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Ninauza gari aina Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc.
:car: LINATEMBEA… :car:
Maelezo zaidi wasiliana na 0754489001 au 0658489001
 
hiyo chasis number ni AT 170 , kwa sasa gari hizi ni antique/mikangafu. laki saba umeuza sana.
 
Hilo ni lakukata kata screpa mkuu.

Kama lipo dar tuongee biashara mkuu lakin ni kwa maraki kadhaa ili niongezee spea kwenye kijibanda changu cha used spea
 
Back
Top Bottom