Gari ambalo magaidi watanunua kama njugu

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

[h=2] [/h]
Ingawa sayansi imeisogeza dunia mbele kuliko wakati wowote, uvumbuzi mwingine ni hatari kwa usalama wake. Hivi karibuni Google ilizindua gari linalojiendesha lenyewe. Ni hatua kubwa ingawa magaidi watanunua aina hii ya gari ili kufikisha mizigo yao. Wengi wameishabikia bila kuliangalia hili kwa undani. Je tutazuiaje gari hili kutumiwa na magaidi kulipua mabomu wao badala ya kutumia watu kama ilivyo sasa? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

Unawakusudia kinanani magaidi ?
 
Magaidi wa pande zote uwajuao wawe vikundi vya watu wasio na dola au wenye dola. Kimsingi gaidi kwangu ni yeyote ayeleta hofu-terror-making creature on the street, state house or jungle.
 
Kama vile wanavyozinunuwa "drone" au sio? Zile ndege bila rubani zinazokwenda kushambulia wanawake, watoto na wazee wasio na hatia.
 
Magaidi wa pande zote uwajuao wawe vikundi vya watu wasio na dola au wenye dola. Kimsingi gaidi kwangu ni yeyote ayeleta hofu-terror-making creature on the street, state house or jungle.

Si kweli, hiyo siyo maana halisi ya neno gaidi, omba usaidiwe ndgu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom