Gari aina ya Hyundai tacson

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
288
128
Jamani naomba kufahamu mambo haya kuhusu gari tajwa hapo juu
Gari ina cc 1998/2000, na ni 4wD / 2wD
Left hand diesel
Auto TM

Swali , je nitatumia 1L kwa kilometre ngapi?

Na vipi kubusu ubora na vipuli vyake yani upatikanaji nabei

Pia nini changamoto ya gari zakushoto.

Ahsanteni sana

BG158549_32d712.jpeg
BG054617_83796e.jpeg
BG146548_5a65ca.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ya zamani sana, ninayo yangu 2016 nipe m48, ni 2016 model,45k mileages ipo SA
 
Back
Top Bottom