TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein

Wasafi Media

View attachment 2968923

Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
RIP Joseee Joseee
 
Binafsi Mimi nilikua mpenzi sana wakusikiliza JAHAZI hasa segment ya Mastory ya town kipindi kibonde akiwepo, kibonde alipofariki ndio nikaacha kabisa, Sasa Gardner nae kaenda, kile kipindi kina PENGO KUBWAView attachment 2968957
SBL na TBL ziepoteza watu muhimu sana wa kutangaza ulabu hii mijamaa ilijuwa kutangaza bear kwa mbwembwe ,angalizo tunywe bear 2 kwa kila siku kwa masaa mawili au toti moja tu kwa siku ikibidi ichanganywe na limao na barafu
 
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0682022727. WAtoto wa mjini hao
Screenshot_20240526_075054_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom