GANJA BANA!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,540
Jamaa ndo mara yake ya kwanza kuvutishwa bangi!
Ilimpokolea wenzake wakamwambia nyanyuka twende jamaa kuanza kutembea anapiga kelele mikono yake inaburuza chini akitembea mmoja akamwambia basi inyanyue juu km unaomba mvua jamaa anazidi kupiga kelele mikono inagusa mbingu.haahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom