Gadafi

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa afanyweje? Pia akipatikana hana hatia ? Itakuwaje ?
 
al jazeer na bbc kakamatwa na watoto wake wawili yeye kapelekwa na machela mahakamani vp umeme huko kwenu wamewachakachua .
 
Huwa nachukia sana watu wanapoleta porojo ktk mambo muhimu. Hii inashusha hadhi ya JF kama chanzo muhimu cha habari kwa baadhi yetu. Mods chukueni hatua sahihi dhidi ya huu upupu.
 
Itabidi ukatibiwe masikio wewe!

Aliyepelekwa Mahakamani akiwa kwenye Machela ni Hosni Mubarak.
 
huyu jamaa ni mpuuzi kweli kweli,sasa anafikiria nini upupu wake huu hapa?
 
Huwa nachukia sana watu wanapoleta porojo ktk mambo muhimu. Hii inashusha hadhi ya JF kama chanzo muhimu cha habari kwa baadhi yetu. Mods chukueni hatua sahihi dhidi ya huu upupu.
<br />
<br />
sasa nisemeje kama amekamatwa tena yeye pamoja na watoto wake wawili tena kapelekwa na mache wamekataa hawajajilimbikizia mali ukisha dhibitisha utajua siyo
 
samahani jamani nimekosea anaye omba msamaha usamehewa plz plz
 
Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa afanyweje? Pia akipatikana hana hatia ? Itakuwaje ?
<br />
<br />
huyo gaddafi hapo kafata nini,kwenye HEADING
 
dah cjajua but wadau wanakuja watakusaidia,.just wait watakuelekeza how utaitoa hyo heading
 
Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa afanyweje? Pia akipatikana hana hatia ? Itakuwaje ?

Mkuu, kwa hiyo mahakamani atapelekwa lini?
 
Jesus christ jamani walimwengu wana mambo vyombo vya habari vinasema hosn mobarak amekamatwa sasa najiuliza akikutwa ana hatia atapewa adhabu gani? Toeni tu maoni siyo mbaya au ungependa afanyweje? Pia akipatikana hana hatia ? Itakuwaje ?

Mijizi na wezi wote wa serilkali za Africa wachinjwe. Hana jinsi nyingine.
 
Back
Top Bottom