Hii ndio faida ya shle za sekondari za kata na ambazo zimekuwa zikipigiwa debe na kuonekana za manufaa mbele ya wapiga kura wa nchi hii.
Unadhani katika mazingira haya kuna ambaye atafaulu hapo?Ni ziro kwa kwenda mbele.
hivi kweli kwa mtindo huu tutafika?Tanzania tuko dunia ya ngapi jamani na tunaelekea wapi. nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali ambazo zinaliwa na wanaojiita wajanja wa nchi hii kwa kufanya mikataba mibovu na wageni.kwa jina lingine tuwaite mafisadi papa mungu tusaidie ndo maana wanafunzi wanafanya mitihani yao katika mazingira magumu kiasi hiki. Tanzania bila CCM inawezekana jamani, tuungane pamoja na kumpa Dr. Slaa kura zetu tuone kama hatutabadilika. :mmph:
Imenibidi nivute pumzi kwanza !!!! Hali ya kielimu inasikitisha sana.... na haya ni mafanikio ya JK and Co, eti
wamejenga shule za kata !!!
" Value your Vote, Vote for Change"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.