Ndo inakuwaga hivyo, zoea tu.Nyuzi kama hizi hazina wachangiaji lakini ingekuwa simba au yanga weeee
Kwanza wewe uko wapi?Asalaam Aleikum to y'all,
Uzi tayari. Tupo around tunasoma majibu
Fursa kibao mkuu..
1. Kufanya Biashara ya pesa : Kununua na kuuza pesa za tanzania, Zambian Kwacha na US Dollar.
2. Kuvusha bidhaa kimagendo kutoka Tanzania kwenda Zambia au Kutoka Zambia kuja Tz kama vitenge na vipodozi
3. Biashara ya Nafaka: kununua na kuuza mahindi mostly from Tz to Zambia or From Zambia to Tz inategemeana na kipindi.
Hizo ndo kwa haraka haraka zinawatoa raia huku
Karibu sana
Mkuu, ni shughuli gani unafanya saivi hapo tunduma..? Na je, usingefanya hio, ungefanya ipi..?Mi niko Tunduma apa maeneo ya stend ya zaman ndipo ninapoendsha shughuli zangu za kusaka mkate wa siku ila kiukwerii apa Tunduma fursa ziko nyingi mno maana hata mm mwenyewe ni mgen hapa na kilicho nivutia icho baada ya kuona kuna fursa nyingi hususan kwa mtu mgen ingawa wenyeji ni wapambnaji ila hawana ideas mpya wanafanya yale yale tuu waliyazoea hawana usubutu wa vitu vipya ila ufikapo ww mgen ni lazma macho yaone wasiyo yaona wao unapgaa ela alaf bila kusahau kuwa nabii akubalik kwake na ndio maana fursa mpya wao hawazion.
Mi niko Tunduma apa maeneo ya stend ya zaman ndipo ninapoendsha shughuli zangu za kusaka mkate wa siku ila kiukwerii apa Tunduma fursa ziko nyingi mno maana hata mm mwenyewe ni mgen hapa na kilicho nivutia icho baada ya kuona kuna fursa nyingi hususan kwa mtu mgen ingawa wenyeji ni wapambnaji ila hawana ideas mpya wanafanya yale yale tuu waliyazoea hawana usubutu wa vitu vipya ila ufikapo ww mgen ni lazma macho yaone wasiyo yaona wao unapgaa ela alaf bila kusahau kuwa nabii akubalik kwake na ndio maana fursa mpya wao hawazion.
spanaTunduma hela ipo
Nina mjomba wangu ye ni mkulima anafanya biashara ya mazao
Si Haba,juzi nikamwambia mjomba nataka kuacha kazi serikalini nije tufanye biashara,akanijibu,hapana wewe uliandikiwa kuwa msomi,usiache kazi.
Haya Afisa wa serikali ya CCMTunduma hela ipo
Nina mjomba wangu ye ni mkulima anafanya biashara ya mazao
Si Haba,juzi nikamwambia mjomba nataka kuacha kazi serikalini nije tufanye biashara,akanijibu,hapana wewe uliandikiwa kuwa msomi,usiache kazi.
Hahahah Sasa ulitaka niwe afisa wa serikali ya ANC 🤣🤣au ya zimbabweHaya Afisa wa serikali ya CCM
#YNWA
Kwa sasa iv nauza matunda hapa stend nafuata uko shamban naleta mjin na maokoto kama yote iv kwa hii biashara ingawa hata katkat kumekuwa na changamoto za hapa na pale kutkna na mvua tyr zimeshaanza kunyesha baadhi ya maeneo meng yanayozungka hii Tunduma.ila pia biashara nyingne ambayo ningeweza kufanya ni huuzaji wa vitu katka magari makubwa (Maroli)kama vile Usb charge ,earfone ,Superglue,viberiti aina zote, sigara na nk iv vyovyote ni vitu mno ila ndio vinamzungko wa matumidhi wa hawa watu maana hawana mda wa kusimama na kushuka ili wakapte ivyoo vitu kwa iyo ww ukiwalete ivyo bac ni mwendo wa maokoto tuu.pia mtumba grade 1yaaan mweeh mweeh mpk utasema kwa nn sikuwa na usubutu sema watu ni wasiri mno katka connection ya maisha itoshee kwa apa.Mkuu, ni shughuli gani unafanya saivi hapo tunduma..? Na je, usingefanya hio, ungefanya ipi..?