ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Tanzania tumejaaliwa kuwa na Mazao mbalimbali ya chakula na tunazalisha Kwa kiwango Cha Kutisha.
Wenzetu Nchi za Ethiopia,Somalia,Eritrea na Kenya zimekuwa zinakumbwa na ukame wa mara Kwa mara au Mafuriko hivyo kusababisha majanga ya njaa ya mara Kwa mara.
Napenda kufahamu Kwa nini Serikali Kupitia Wizara ya Kilimo haijafungua Ofisi za Kuuza vyakula processed au nataka ghafi Ethiopia Ili kuwapatia wakulima soko la uhakika?
Au Waethiopia Huwa hawali Ugali? Kama ugali hawali mpunga/Mchele upo what hatuchangamkii fursa.
Tuna Ofisi Kenya,Sudani Kusini na DRC Sasa Kwa nini hatufungua huko Ethiopia? Haiwezi pita miaka 3 bila hizo Nchi kukukwa na majanga ya ukame na Mafuriko so ni fursa kwetu.
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1755978257470525821?t=fNfpjUaa_lWXPYfKjsp1jg&s=19