Furahia simu yako hapa

Solo launcher z ze best
 
Attachments

  • 1429420430743.jpg
    1429420430743.jpg
    47.4 KB · Views: 334
jinsi ya kubadilisha ifont jamani msaada nataka niitoe maandishi madogo mno nashindwa kukuza
 
jinsi ya kubadilisha ifont jamani msaada nataka niitoe maandishi madogo mno nashindwa kukuza

Nenda ifont ukifungua utaona upande wa kulia sehemu imeandikwa MY.Click hapo utapata setting za ifont pia utaona sehemu ya FONT size bofya na uchague font size unayoipenda!,
Enjoy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom