WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,015
Tumia kingo. Kingo unaitumia kwenye komputer na Una root simu kupitia Usb.
Asante Mkuu ngoja nifanye hiyo option
Tumia kingo. Kingo unaitumia kwenye komputer na Una root simu kupitia Usb.
Kila mtu anamtazamo wake mkuusolo launcher sio nzuri saaaana
Karivu mkuu hapa si kama kariakoo kuinstalliwa whats app unalipishwa 10000Ndio maana naipenda JF!
Asante Mkuu.
Ubarikiwe tena na tenaa:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
Nimejaribu kuroot kwa z4root, RootX,OneClickRoot na nyingine imegoma. Mwisho imeniletea huu ujumbe
Tumia kingo. Kingo unaitumia kwenye komputer na Una root simu kupitia Usb.
Inaonekana smart kika ni kuntu sana em jaribu iyo aliokwambia mkuu
Shukrani wakuu nimetumia KING ROOT APK ni ya kichina ila imefanya kazi ya kuroot bila computer!
Shukrani wakuu nimetumia KING ROOT APK ni ya kichina ila imefanya kazi ya kuroot bila computer!
Waaaaa hapo tunaenda sawa
Sanjari kabisa
Kila nikizima cm...,nikija kuiwasha nakuto fonts niliyo idownload na kuiweka imetoka paka niiseti tena....tatizo nn hapo
Oooh mi natumia HTC ila ya nikiistall programs chache tu inalete "phone running low space" wakat kuna nafasi ya kutosha cjajua tatizo ni mini msaada wakuu
Jaribu kutafuta app inaitwa app2sd hiyo itasaidia kusogeza app na kutumia storage ya memory card
tupi link mkuu utakuwa umetusaidia wengi sana
Kila nikizima cm...,nikija kuiwasha nakuto fonts niliyo idownload na kuiweka imetoka paka niiseti tena....tatizo nn hapo
Duuh yani inanikera hii kitu balaaa paka nimezila kuiweka tena