Furaha ya mwanaume ni kuona mwanamke akiililia!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Hivi inakuaje mwanamke anavyo lalamika ndivyo mwanaume mzuka wa ngono unapanda?. Tuseme furaha ya mwanaume ni kuona mwanamke anaumia au mwanamke anavyo lalamika ndo mwanaume anajiona kidume?. Hii hali ikoje?. Mwanamke anaye jihangaisha kwa kulalamika anatia hamasa kwa mwanaume.
Ni mara chache mwanaume kumrudia mwanamke asiye onyesha hamasa yaani anaye kaa kama gogo na Bubu. Sana sana atamkumbuke pale anapo ishiwa kama simba anavyo kula majani akikosa nyama.
Kitu gani kinaleta hiyo hali?. mia
 
huwa wanalia kwani? Me, hua nahisi nifuraha yani ni hisia zake za utamu yanii umekua umemfikisha pale penyewe so, badala ya kuongea anatoa mlio wa kimahaba ku onesha kua eeeh! imemuingia ipasavyo
 
Hivi inakuaje mwanamke anavyo lalamika ndivyo mwanaume mzuka wa ngono unapanda?. Tuseme furaha ya mwanaume ni kuona mwanamke anaumia au mwanamke anavyo lalamika ndo mwanaume anajiona kidume?. Hii hali ikoje?. Mwanamke anaye jihangaisha kwa kulalamika anatia hamasa kwa mwanaume.
Ni mara chache mwanaume kumrudia mwanamke asiye onyesha hamasa yaani anaye kaa kama gogo na Bubu. Sana sana atamkumbuke pale anapo ishiwa kama simba anavyo kula majani akikosa nyama.Kitu gani kinaleta hiyo hali?. mia
Inaonekana kama hili swala unaliongea kutokana na uzoefu wako mwenyewe. Unaonaje wewe ukatupa uzoefu wako katika hili?
 
huwa wanalia kwani? Me, hua nahisi nifuraha yani ni hisia zake za utamu yanii umekua umemfikisha pale penyewe so, badala ya kuongea anatoa mlio wa kimahaba ku onesha kua eeeh! Imemuingia ipasavyo

majibu yako + hii font uliyochagua huwa unanichekesha sana manoah
 
Last edited by a moderator:
ah ile kulia ni magumashi wewe ukitaka jua kuwa u hitting it badly basi angalia vidole vyake na ile kukupiga makofi hapo ndio unajua ngoma imekolea kisawasawa
 
Those are emotions...ushawahi kujiuliza kwa nini mtu analia, anacheka au yule anayeguna? wengine hata akiwa chooni anakata gogo utasikia miguno flani hivi!
For ur case: hata mwalimu darasani akifundisha ukatingisha kichwa ni ishara ya yeye kutambua kama unaelewa anachosema sio kukodoama mimacho....so ni sawa na ngono tu!
 
Inaonekana kama hili swala unaliongea kutokana na uzoefu wako mwenyewe. Unaonaje wewe ukatupa uzoefu wako katika hili?

Mkuu wewe huna uzoefu hata kidogo au kuhisi ni nini kinasababisha?. Mbona unaonekana ka unajua?. mia
 
Hivi inakuaje mwanamke anavyo lalamika ndivyo mwanaume mzuka wa ngono unapanda?. Tuseme furaha ya mwanaume ni kuona mwanamke anaumia au mwanamke anavyo lalamika ndo mwanaume anajiona kidume?. Hii hali ikoje?. Mwanamke anaye jihangaisha kwa kulalamika anatia hamasa kwa mwanaume.
Ni mara chache mwanaume kumrudia mwanamke asiye onyesha hamasa yaani anaye kaa kama gogo na Bubu. Sana sana atamkumbuke pale anapo ishiwa kama simba anavyo kula majani akikosa nyama.
Kitu gani kinaleta hiyo hali?. mia

100% miaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
saa nyingine huwa tunazazuga tu, unakuwa hufeel kitu basi unaweka kamlio hako kuspeed up zoezi, ashuke aende zake huko
 
Back
Top Bottom